Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
tiGo si kwa vijana hata wazee wamo!
Tigo iache iende zake si mchezo hata kidogo. Mijitu inapiga kelele ooh ni dhambi ooh hairuhusiwi ooh lakini mapadri wanahangika na tigo hawa walalamikaji kimyaaaaaa, ngoja wasikie mbongo kala tigo kwa mkewe au girlfriend basi ndo watachonga sana na kujifanya wao ni watakatifu kuliko watakatifu wote.