The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 7,786
- 25,531
Nadhani huwa wanaenda kuziuza tena in short mali za marehemu waliokufa ghafla kwa ajali kudondoka ghafla etc huwa wanazuia wahudumu wa mochwari.
Vitu kama saa,cheni hereni pete jamaa wanabeba.binamu yangu alifariki ndani kwake mwaka 2006 alikuwa amevaa saa yake Seiko 5 ya gold toka anatolewa mule ndani kuwekwa kwenye gari ya polisi mpaka pale Muhimbili alikuwa nayo ila siku tunakabidhiwa mwili wakatupa nguo zake peke yake