Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,249
- 24,079
Bado sijawahi kupata jibu na Kwa vile nilikuwa na majonzi moyoni sikuweza kuuliza kuwa kwanini huwa wanawavua maiti shanga zao?
Ndg wahudumu wa mochwari naombeni mnipe majawabu mwenzenu.
Ilikuwa mwaka 2024 nilifiwa na shemeji yangu wa kiume hivyo Mimi na wengine kama 7 tulipewa jukumu la kwenda kuuandaa mwili wa marehemu kwa ajiri ya misa na mazishi.
Baada ya kufika pale Mimi kama mkwilima ndo ilibidi nibebe majukumu yote ya pale ikiwa ni pamoja na kulipa garama zote za wahudumu sanda nk.
Tukiwa tunamuosha marehemu kwa pembeni niliona burugutu la shanga nyingi za kila size rangi na aina!
(Ieleweke kuwa sehemu ya kuoshea maiti ni sehemu tu yaani ke na me wote wanaoshewa mahali pamoja siyo kwamba marehemu/maiti yetu ndo ilikuwa na shanga la hasha)
Zipo zile za kienyeji na hizi za kisasa..yaani shaba,zahabu plastic nk.
Najiuliza ni kosa maiti kuzikwa na shanga zake? Kama sivyo kwanini wanawavua maiti na shanga zao?
Karibuni