Nilifikiri amenasa...

Nilifikiri amenasa...

We nahisi utakua pacha wangu maana tunashea story inayofanana,hapana chezea kabisa mtoto kichefuchef,kutapika,tumbo,kichwa mwili mzima kuchoka,siku zimepitiliza daah! Nilichoka,sirudii tena peku coz jana hiyo nimepata gud newz
 
Badala ya kuogopa ukimwi wewe unaogopa mimba


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bado watoto ya bata haya yanalala na kula ugal wa shikamoo mpaka boxer unamuliza mama!

hv kwan bado selectn za form5 hazjatoka tu
 
Mweee wewe inaonekana bado kijana mdogo unakwepa majukumu
 
Uzi nyingine za kiiiiiiii ......seeeeeeee.......
 
Hayo mambo ya kutupia nje kuwa makini kuna wakati unaweza sema nimewahi kumbe baadhi ya ..., bahati yako usirudie tena mchezo wa kutupia nje
 
Nina mpenzi wangu ambae wiki masiku kadhaa yaliyopita, nlicheza nae siku za hatari.

Ingawa nilimwaga nje, lkn nilishituka kwani baada ya siku kama tatu hivi alianza kuumwa, akawa anasema kichwa, tumbo vinauma pia anasikia kizunguzungu na hali yake ilikuwa serious kweli.

Mawazo yangu yakapelekea kwamba huenda nmempa mimba.

Nilifadhaika sana kwani nlijua kwamba endapo kama amepata mimba, basi mfumo wake wa maisha na wangu pia nmeshaharibu.

Leo nikapokea good news, akaniambia yuko period, moyo wangu ukarukaruka, hapohapo nikakimbia dukani kumuongezea zile taulo zao zile!. Ingawa uzinzi si mzuri, ila kwakweli nmefurahi sana, maisha haya sitaki kumpa mtu mimba kabisa, hadi wakti utakapo wadia.!

huyo sio cheupe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom