Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Hongera sana mkuu.
Back to me ... Asante kwa kunipa njia nzuri ya kupata jinsia ya mtoto nimtakaye maana hapa mimi natungua ya kiume tu na niliahidi kimoyo moyo nitamzalisha Hadi kieleweke..
Sasa naanza maombi Rasmi
Amen.
 
Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi
 
Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi
Watoto wakike ndo hutunza familia wakiume wakioa hiacha kutunza wazazi wao
 
Back
Top Bottom