Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Watu wanawachukulia poa watoto wa kike lakini kiuhalisia ndio wenye msaada sana kwa familia na wazazi.

Una wa kiume wote?
Upo kama dada yangu..4wote wa kiume.
Ameshakata tamaa ya kupata wa kike na umri umeshamtupa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli kabisa. Watoto wa kike ndio wana support familia zao hasa wazee wakiwa wagonjwa na kipindi cha uzeeni, japokua wanaweza wasiwe na kipato kikubwa kama cha kaka zao.
 
Mshukuru muumba kwa kukata kiu yako ya mtoto wa kiume, lakini kumbuka pia kumuomba sanasana huyohuyo uliyemwomba, akusaidie katika matunzo na malezi sahihi ya kijana wako, usije ukaleta ufundi wako na ukasahau wakati wa kiu yako uliekekeza kilio chako wapi.
Namuombea sana, mkuu. Ila nashangaa kwanini watu wanawaza mabaya tu: "utajuta, utajuta" ina maana wazazi wao walijuta kuwazaa(wanaume)? Sasa mimi natamka, "sijuti, na sitajuta kupata mtoto wa kiume. Mungu aliyesikia maombi yangu, akanipa haja ya moyo wangu, ataendelea kumtunza kijana huyu, na atakuwa mwanaume mwenye maadili mema sana, katika Jina la Yesu Kristo. Amen."
 
Hii ni kweli kabisa. Watoto wa kike ndio wana support familia zao hasa wazee wakiwa wagonjwa na kipindi cha uzeeni, japokua wanaweza wasiwe na kipato kikubwa kama cha kaka zao.
Pamoja na kipato chao kidogo lakini msaada wao ni mkubwa mno.

Wa kiume wao hawana muda,zaidi maisha yakiwachapa wanarudi home kuendelea kuwapiga wazazi vizinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
 
Pole Sana Mkuu.
Unaamini Mungu anaweza ondoa kifo na kuachilia uzima katika kizazi chako?

Usifadhaike,
Yupo Mungu anayeweza yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanawachukulia poa watoto wa kike lakini kiuhalisia ndio wenye msaada sana kwa familia na wazazi.

Una wa kiume wote?
Upo kama dada yangu..4wote wa kiume.
Ameshakata tamaa ya kupata wa kike na umri umeshamtupa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa4 aache tu wanamtosha..yaan yote madume .bas hom ni kama uwanja wa vita...ila watoto wa kiume wanaupendo sana kwa mama zao..nikifika hapa naonaga nashukuru tu Mungu..
 
Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Pole...kuna madawa ya kienyeji akinywa anapakata mtoto kbs...niamini .wachek wahaya au wasukuma ! Pole sana.. i can feel u
 
Amina sana,amekunywa sana haimaanishi tumekata tamaa pengine hatujalipatia tatizo
manabii wametoa unabii mpaka wengine nikaacha hata kuhudhuria ibaada zao,lakini bado Mungu tunamtumainia.
Hata hivyo 5 yrs mbona bado mkuu! Mkeo atazaa tu
 
Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
kwa wakati wake Mungu atakutendeaaa
 
Kwa utafiti mdogo nilioufanya..watoto wa kike huwakumbuka sana wazazi kuliko wa kiume.wenye watoto wwngi wa kike na ukifanikiwa kuwalea vizuri ukawa nao karibu..aisee utaishi zaidi ya mfalme..maana utalelewa na wanao na waume zao..hutokuwa mpweke maishani
Nakukumbusha tu, wakati anakumbuka wazazi wake huwa ndoa yake na familia yake na mume wake anaviweka rehani. To me that's selfishness.
 
Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Na unajua sababu yake ni nini?
Nitakwambia
Ni aina ya malezi atakayopewa ya kupendwa sana kuliko wengine
Dogo atajihisi yeye ni special na kwa kufanya hivyo mzazi utamharibu mtoto na matokeo yake ukubwani huyo kijana atakuwa ni mzigo mpaka mzazi atajuta kumzaa
Mwombe sana Mwenyezi Mungu kijana asilewe misifa na mapenzi yenu wazazi kwake
 
Hata hivyo 5 yrs mbona bado mkuu! Mkeo atazaa tu
Yah 5yrs siyo mingi na ndiyo maana nimesema kinachoniumiza zaidi Afadhari angekuwa habebi kabisa tungeamini pengine tuna matatizo sote hivyo tungepambana kutafuta dawa
Lakini hebu fikiri kwa miaka 5 hiyo kuna mimba 3 zilizoishi 9months na hazina matokeo na kuna mimba kama 4 hivi zilizoharibika tu kwa muda mfupi tu.
Kwa miaka 10 hivi hali ikiwa hivi hivi unakuwa na rekodi gani?
 
Amina sana mkuu,yaani inafika muda unaulizwa hawajambo wanao?unajibu hawajambo maana huwezi kumweleza kila mtu kwamba hamjafanikiwa wakati mnakutana kiliniki kila mwaka.
oh
Soma hapa

Isaya 53:4a
Hakika ameyachukua masikitiko yetu,amejitwika huzuni zetu;

5b Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Luka 1:37
Kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Amini Yesu aliyabeba masikitiko yetu,huzuni zetu na mizigo yetu.
Huna haja ya kusikitika,huwa haja ya Julia Wala kuogopa ..unapaswa kuomba maana hakuna linaloshindikana kwake.

Na neno lake alilolituma halitamrudia bure bila kutimiza mapenzi aliyolituma kufanya.
Na Neno la Mungu ni Mungu(Yoh1:1)
Tena lina nguvu na li hai.

Sijajua shida ipo sehemu gani,Ila ninachojua Mungu anaweza yote.

Unaamini hayo???
Natamani tuombe juu ya hili kama ukikubali na ikikupendeza,
Nipo tayari na ninaamini Mungu atatujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Haupo peke yako mkuu, mtumainie Mungu,aombae hachoki
 
Back
Top Bottom