levels
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 203
- 131
Nan kasema urafiki una umri??? Urafiki una levels mfano moo hawezi kua urafiki na ww hiyo ni ndoto tafuta levels zako umri sio kigezo afu hum huwezi wapata kiurahisi kuna levels pia na wengi tupo ki stori zaidi.Habari zenu wakuu,nimewahi kuweka uzi wa kutafuta marafiki wa kawaida humu na nikaweka kigezo cha umri,kwamba kwa kuwa nina miaka 35 yule mwenye kuanzia 40-70 yrs atanifaa na ndo maono yangu!