Nemo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2011
- 751
- 1,331
Aisee pole sana, kwani Asilimia 25% za mkopo unaodaiwa ni shs ngapi?Ndio mkuu naomba msaada wako
Aisee pole sana, kwani Asilimia 25% za mkopo unaodaiwa ni shs ngapi?Ndio mkuu naomba msaada wako
Nilijua deni litakuwa around 1-1.5 M nijaribu kukufanyia harambee from friends and my work colleagues . I never imagined a 4 years finance degree nyumbani ni 20M Duh, Pole boss, nisamehe bure I had no clue Uni za Tz ni bei ghali hivyo!Nadaiwa 15M so inabidi nilipe 3750000 ili nipate mkopo mpya nilidhan naweza pewa nikakatwa kwenye boom lakin kumbe huo utaratibu haupo
Ushauri wako mkuu umekua na michango maridhawa sana hapa jukwaani kwa kipindi kifupi nilichokua humu ndani nipo serious na hii issue nimestuck mahali yan nilikua siijui pombe lakini saivi K vant nakunywa hata siskii ukali naona kama maji tuu
Jamaaaa alidico course rahisi Sana.....je angesema MD, BVM, ENGINEERING INGEKUWAJE?Mbona ulidisco course rahisi
Au course kama Bsc in Geology, sema anajitetea tuJamaaaa alidico course rahisi Sana.....je angesema MD, BVM, ENGINEERING INGEKUWAJE?
Mkuu niliumia sana kitendo hiki hapa ni miezi sita sasa nipo mtaaani kila nikienda kuomba kazi naulizwa vyeti nina cheti cha form six kipo fresh ila ndo hawataki mkuu sasa nafanyaje?
Sina baba sina mama sina urithi wowote yan hua nawaza nipate mtaji lakini kila nikibet wapi nimekua mcheza kamali ili kutafta mtaji lakini nagonga mwamba hebu nisaidie hapa
Asante mkuu kwa kutoa muda wako na kuandika somo hili muhimuHATA USIPOHANGAIKA NA CHUO UNGEFANIKIWA TU KAMA UNAPAMBANA KWA AKILI.
Kwa umri wako kutokuwa na baba wala mama si hoja ya msingi usiitumie, usiwaze kuonewa huruma bali peleka sababu ya msingi ni kwanini ofisi unayotaka kufanya kazi inakuhitaji, kuwa na degree sio guarantee ya kupata kazi.
NOTE: Ukiacha serikalini, hakuna mwajiri atakayekupa kazi kwa sababu nyingine yoyote zaidi ya kuongeza faida/uzalishaji.
Si uyatima, degree, huruma utakaokupa kipato bali uzalishaji wako.
Karibu boss.Asante mkuu kwa kutoa muda wako na kuandika somo hili muhimu
Hapana mkuu ni hyo gharama kama ungenisaidia kupata capital hata sio 1.5m chini ya hapo ningeshukuru mkuuNilijua deni litakuwa around 1-1.5 M nijaribu kukufanyia harambee from friends and my work colleagues . I never imagined a 4 years finance degree nyumbani ni 20M Duh, Pole boss, nisamehe bure I had no clue Uni za Tz ni bei ghali hivyo!
Mkuu naku Pm sms haziend kuna jambo nataka kushare na wewe nichek mkuuNilijua deni litakuwa around 1-1.5 M nijaribu kukufanyia harambee from friends and my work colleagues . I never imagined a 4 years finance degree nyumbani ni 20M Duh, Pole boss, nisamehe bure I had no clue Uni za Tz ni bei ghali hivyo!
Kwa sasa sitaweza ndugu yangu, nipo mbali sana.Asante jabali sasa tufanyaje kutoka hapa kama unaweza kuja pm tuyajenge itapendeza
Yaaani Ana Disco kozi rahisi Kama hii? Ajabu sanaaaa
Ku disco kwa case ya Examination irregularities huwa ni miaka3, naomba niiweke sawawDaaah mkuu hua unafanyaje kupata andiko asante sana nadhan watajua reason ya kudisco
Pole snaa jmn mwaka wa tatuMwaka wa tatu mkuu yan nilimfanyia rafiki yangu sapp nikadakwa nilikua nasubiri kutunikiwa honorable degree