Kijana umefanya kosa kubwa sana aisee. Nipo nasikitika sana hapa. Why lakini? Alikuahidi nini huyo mtu? Aiseeee...Mwaka wa tatu mkuu yan nilimfanyia rafiki yangu sapp nikadakwa nilikua nasubiri kutunikiwa honorable degree
Kijana umefanya kosa kubwa sana aisee. Nipo nasikitika sana hapa. Why lakini? Alikuahidi nini huyo mtu? Aiseeee...Mwaka wa tatu mkuu yan nilimfanyia rafiki yangu sapp nikadakwa nilikua nasubiri kutunikiwa honorable degree
Tatizo hatusomagi prospectus tukiwa tunaingia mwaka wa kwanza nilikuja kuisoma yote na ikakaa kichwani kwa muda wa wiki moja ili nikiitwa baraza la senate niwe na hoja za kujidefend ila haikusaidia baada ya maji kumwagikaDaaah! Pole sana mdogo wangu. Poleee sana sana sana. Umefanya kosa kubwa sana ambalo litakugharimu maisha yako yote.
Sheria za university ni kali & zipo wazi kabisa, usingeweza salimika kwa namna yoyote Ile.
Kama wataku-report TCU baasi utapigwa ban ya 3 years.
Aisee ulifanya kosa kubwa sana. Sina ushauri zaidi ya kukutakia maisha mema maana yote haya umeyataka mwenyewe Ingali sheria unazifahamu.
Mdogo wangu sidhani kama kuna option nyingine maana HESLB wanafata taratibu zao, ulipe 25% kwanza na si vinginevyo.Ukweli mchungu unaoumiza moyo wangu mkuu naomba altenative m dying with the acquired skills what should i do?
basi kama umenisoma tuliza akili futa kabisa fikra za kichuochuo ww si mwanachuo tena ww ni msela wa kitaa karibu kitaa jichanganye na wadau watakupa michongoYou have something to remind me let me take this cuz nimekua mlevi nimepoteza mwelekeo nilikua nasubiri dirisha la bodi ndo mawazo yangu thank you mkuu
Ni mshkaji nilimeet nae chuo alikua blood friend mnoo hakuniahidi chochote ila plan zetu ni tugraduate tukaishangaze dunia na yeye lilibaki hilo somo tuu yan niliexpect interview moja tu ilitosha mimi kupata job nilihudhuria seminar zote chuo fanya field kwenye reputable organization like TRA nilizipata zote hizi bila kuwa na mtu bali uwezo wa kujenga hoja madhubuti lakini mwisho wa siku mungu wanguKijana umefanya kosa kubwa sana aisee. Nipo nasikitika sana hapa. Why lakini? Alikuahidi nini huyo mtu? Aiseeee...
Mkuu ingia kitaa piga mishe utaenda kupoteza ada ajira zenyewe hakuna.Habari za muda huu wanajamvi poleni na ujenzi wa Taifa,
.
.
Rejea kichwa cha bhabari tajwa mimi nilipata changamoto niliyowahi kuileta hapa wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
.
.je naweza kuapply mkopo mwaka huu wa masomo naombeni ushauri nilikua mnufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ninakiu ya kutimiza ndoto yangu ya kugraduate university, mwenye ushauri naomba anisaidie nipo kwenye wakati mgumu kama binadamu sina hata ndugu wa kunisupport kutimiza ndoto yangu.nawasilisha
Ni mshkaji nilimeet nae chuo alikua blood friend mnoo hakuniahidi chochote ila plan zetu ni tugraduate tukaishangaze dunia na yeye lilibaki hilo somo tuu yan niliexpect interview moja tu ilitosha mimi kupata job nilihudhuria seminar zote chuo fanya field kwenye reputable organization like TRA nilizipata zote hizi bila kuwa na mtu bali uwezo wa kujenga hoja madhubuti lakini mwisho wa siku mungu wanguKijana umefanya kosa kubwa sana aisee. Nipo nasikitika sana hapa. Why lakini? Alikuahidi nini huyo mtu? Aiseeee...
Labda kama ukipata mtu umfanyie kazi akuamini then akuajiri af uanze hata evening class taratibu. Shida ni ngumu kupata mtu wa kukuamini faster.Ukweli mchungu unaoumiza moyo wangu mkuu naomba altenative m dying with the acquired skills what should i do?
Usingeweza salimika maana uli kamatwa red-handed.Tatizo hatusomagi prospectus tukiwa tunaingia mwaka wa kwanza nilikuja kuisoma yote na ikakaa kichwani kwa muda wa wiki moja ili nikiitwa baraza la senate niwe na hoja za kujidefend ila haikusaidia baada ya maji kumwagika
Daaaah! Usielezee zaidi mdogo wangu, Its so painful.Ni mshkaji nilimeet nae chuo alikua blood friend mnoo hakuniahidi chochote ila plan zetu ni tugraduate tukaishangaze dunia na yeye lilibaki hilo somo tuu yan niliexpect interview moja tu ilitosha mimi kupata job nilihudhuria seminar zote chuo fanya field kwenye reputable organization like TRA nilizipata zote hizi bila kuwa na mtu bali uwezo wa kujenga hoja madhubuti lakini mwisho wa siku mungu wangu
Huyo Mungu ungemkumbuka kabla ya kufanya udanganyifu,asingekuacha ufanye hivyo.Ni mshkaji nilimeet nae chuo alikua blood friend mnoo hakuniahidi chochote ila plan zetu ni tugraduate tukaishangaze dunia na yeye lilibaki hilo somo tuu yan niliexpect interview moja tu ilitosha mimi kupata job nilihudhuria seminar zote chuo fanya field kwenye reputable organization like TRA nilizipata zote hizi bila kuwa na mtu bali uwezo wa kujenga hoja madhubuti lakini mwisho wa siku mungu wangu
Najutia sana tena sana lakini hua najipa moyo lakini ni uongo sijawahi fanya mistake maishani kama hii nataman nipate second chance lakini ndo siioni kila nikiwaza nalia machozi yanakauka nalewaaa zikiisha pombe narudi pale pale sijawahi kunywa kileo lakini sasa ni mtumiaji mzuriHuyo Mungu ungemkumbuka kabla ya kufanya udanganyifu,asingekuacha ufanye hivyo.
Huruma nyingine za kijinga sana,tena ni dhambi kudanganya ,unamfanyia mtu mtihani!!!ni dhambi hiyo.
Msaada mzuri ni wa kumsaidia rafiki kabla ya chumba cha mtihani.
Nataman niende sinza niwe marioo nimpate shuga mamy anilee nipate mtaji nikimbie cuz namuonekano fresh yan hua nawaza ujinga mwingi lakini namuanzaje huyu shuga mamy na nina hofu ya Mungu ndani yangu nawazaga ukimwi je?Daaaah! Usielezee zaidi mdogo wangu, Its so painful.
Ni kweli mkuu ninapita kwenye moto ambao wakati mwingine nataman kujiua lakiniHuyo Mungu ungemkumbuka kabla ya kufanya udanganyifu,asingekuacha ufanye hivyo.
Huruma nyingine za kijinga sana,tena ni dhambi kudanganya ,unamfanyia mtu mtihani!!!ni dhambi hiyo.
Msaada mzuri ni wa kumsaidia rafiki kabla ya chumba cha mtihani.
AiseeMwaka wa tatu mkuu yan nilimfanyia rafiki yangu sapp nikadakwa nilikua nasubiri kutunikiwa honorable degree
AiseeNatafta wa kupita na mimi katika huu moto
Ohoo tatizo lilianzia hapaMimi nilimsaidia rafiki yangu kuchomoa sapp jus imagine sizijui starehe wala nini niliamini elimu pekee ndo mkombozi wangu lakini yaliyotokea sijaamini mpaka leo