Nilidisco chuo, naweza kuomba tena mkopo?

Sasa napata wapi mtaji mkuu hebu nisaidie nimeenda mpaka kwa moo kubeba viroba vya unga kazi ni connection mpaka aumwe yule wanaemfahamu ndo upate kazi nimetuma maombi kwa kuandika barua in a proffessional way lakin wapi naongea kiingereza kizuri lakin hakinipi chochote kosa langu lipo wapi nimeombewa kuanzia kwa gamanywa mpaka kwa mwamposa lakini wapia nionyeshe ninapokosea miezi sita hii imekua ya moto mnoo kwangu lakini nimemuona mungu akinipigania
 
Kukata tamaa hakutabadilisha chochote.
Cha muhimu ni kufanya juhudi katika kazi halali,,achana na ujinga wa kubet.

Jitahidi ukipata tena nafasi ya kusoma usiicheze,,,wengi wanaopata 100 kuna namna huwa wanajisahau, hapo si wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilimsaidia rafiki yangu kuchomoa sapp jus imagine sizijui starehe wala nini niliamini elimu pekee ndo mkombozi wangu lakini yaliyotokea sijaamini mpaka leo
 
Well said nilienda bodi walinambia hiki kitu sasa hela ya kulipa ni sina nikajua kuna mbinu nyingine nilikua nalipiwa %100 na ili nipate 25% ndo natakiwa nilipe hapa hata sh mia sina yan naumia sana tena sanaa kama unamiliki AK 47 niingie congo nimekata tamaa na maisha
acha kufikiria kusoma utazidi kuwa na stress+msongo wa mawazo

fikiria jinsi ya kupata pesa na kuwekeza kwenye miradi yako.
 
Asante mkuu yan hua natembea kutoka temeke mpaka kawe kutafuta kibarua lakini wapi mkuu mimi nikipata mtaji naweza badirisha maisha lakini start up ndo shida
 
Nikijiuliza labda kuna mahali nilikosea lakini kila nikiangalia wapi nimeoga sana maji ya bahari kawe beach lakini wapi hebu kama mnaweza nishauri naombeni ushauri wenu
 
B.A.in accounting preparation of Financual statement,balance sheet .coreection of error incase of missing figure or incomplete record pia ni bingwa katika double taxation agreement kwa model zote za UN n OECD yan kichwani kuna kitu hua natamani hata mtu aote aniajiri kama cheap labor anilipe hata laki kwenye kampuni yake nimpe management and administrative skills cuz sikuenda chuo kushiriki nilielewa nilichosoma
Ungekuwa bingwa as you said usinge-disco. Nahisi akili Imekukaa sawa baada ya kuliwa kichwa na system.
Ubishoo nini.. madem kwa sana Ila sasa naona akili Imekukaa sawa.

Anyway.. Skia sasa we dogo. Unaweza pata mkopo tena kama utafata taratibu hizi (Sio lazma kupata mkopo lakini)

-Nenda chuo ulichomaliza omba barua ya disco, nenda TCU fanya clearance Ili upate kibali cha kuomba chuo upya. Maana hakuna mkopo kama haujapata chuo.

-Piga hesabu ni kiasi gani unadaiwa na HESLB/nenda kwa office zao utaambiwa then lipa 25% Ili kupata kibali cha kuomba mkopo tena.

Chakusikitisha ni upo nje ya muda. Vumilia hadi mwakani then fata process nilizokwambia.

All the best.
 
Asante mkuu yan hua natembea kutoka temeke mpaka kawe kutafuta kibarua lakini wapi mkuu mimi nikipata mtaji naweza badirisha maisha lakini start up ndo shida
ushauri wangu achana na fikra za kusoma tena

fikiria jinsi ya kupata pesa na kuwekeza kwenye miradi yako
Labda nikuulize swali dogo kabisa

unasoma ili iweje?
 
Ungekuwa bingwa as you said usinge-disco. Nahisi akili Imekukaa sawa baada ya kuliwa kichwa na system.
Ubishoo nini.. madem kwa sana Ila sasa naona akili Imekukaa sawa.

Anyway.. Skia sasa we dogo. Unaweza pata mkopo tena kama utafata taratibu hizi (Sio lazma kupata mkopo lakini)

-Nenda chuo ulichomaliza omba barua ya disco, nenda TCU fanya clearance Ili upate kibali cha kuomba chuo upya. Maana hakuna mkopo kama haujapata chuo.

-Piga hesabu ni kiasi gani unadaiwa na HESLB/nenda kwa office zao utaambiwa then lipa 25% Ili kupata kibali cha kuomba mkopo tena.

Chakusikitisha ni upo nje ya muda. Vumilia hadi mwakani then fata process nilizokwambia.

All the best.
Mkuu bado nipo ndani ya muda shida hiyo 25% napata wapi? Dirisha la kuomba chuo bado mkopo bado na barua ninayo na process za clearance naweza fanya within a week sasa ishu ya hyo pesa napata wapi? Nilikua nawaza kama naweza pewa mkopo wakate kwenye hela nayopewa hyo amount wangenisaidia mkuu kwa kutokujua nilimfanyia mshkaji sapp nikadakwa na niliamini tunge sort it out in democratic way na registraa lakin ikawa hivi
 
Laiti ningedisco kwa kufeli ningeamini kuwa kichwa kibovu ila kwakua huelewi ngoja nikuache
Kila mtu ana haki ya kutoa sababu zake maana mhusika hujasema ulipatwa na nini. Hakuna malaika hapa ataeweze kujua kilichotokea.
 
ushauri wangu achana na fikra za kusoma tena

fikiria jinsi ya kupata pesa na kuwekeza kwenye miradi yako
Labda nikuulize swali dogo kabisa

unasoma ili iweje?
Nasoma nipate mtaji niwekeze kwenye miradi ya maendeleo as you said mkuu
 
Kila mtu ana haki ya kutoa sababu zake maana mhusika hujasema ulipatwa na nini. Hakuna malaika hapa ataeweze kujua kilichotokea.
Nilisahau kuattach uzi wangu wa mwanzo baada ya kupata hii changamoto
 
huo muda na resources unazopoteza kwenye kusoma kwanini usizifanye zikawa mtaji?

Think twice
You have something to remind me let me take this cuz nimekua mlevi nimepoteza mwelekeo nilikua nasubiri dirisha la bodi ndo mawazo yangu thank you mkuu
 
Nikijiuliza labda kuna mahali nilikosea lakini kila nikiangalia wapi nimeoga sana maji ya bahari kawe beach lakini wapi hebu kama mnaweza nishauri naombeni ushauri wenu
 
Mkuu bado nipo ndani ya muda shida hiyo 25% napata wapi? Dirisha la kuomba chuo bado mkopo bado na barua ninayo na process za clearance naweza fanya within a week sasa ishu ya hyo pesa napata wapi? Nilikua nawaza kama naweza pewa mkopo wakate kwenye hela nayopewa hyo amount wangenisaidia mkuu kwa kutokujua nilimfanyia mshkaji sapp nikadakwa na niliamini tunge sort it out in democratic way na registraa lakin ikawa hivi
Daaah! Pole sana mdogo wangu. Poleee sana sana sana. Umefanya kosa kubwa sana ambalo litakugharimu maisha yako yote.

Sheria za university ni kali & zipo wazi kabisa, usingeweza salimika kwa namna yoyote Ile.
Kama wataku-report TCU baasi utapigwa ban ya 3 years.

Aisee ulifanya kosa kubwa sana. Sina ushauri zaidi ya kukutakia maisha mema maana yote haya umeyataka mwenyewe Ingali sheria unazifahamu.
 
Daaah mkuu hua unafanyaje kupata andiko asante sana nadhan watajua reason ya kudisco
 
Daaah! Pole sana mdogo wangu. Poleee sana sana sana. Umefanya kosa kubwa sana ambalo litakugharimu maisha yako yote.

Sheria za university ni kali & zipo wazi kabisa, usingeweza salimika kwa namna yoyote Ile.
Kama wataku-report TCU baasi utapigwa ban ya 3 years.

Aisee ulifanya kosa kubwa sana. Sina ushauri zaidi ya kukutakia maisha mema maana yote haya umeyataka mwenyewe Ingali sheria unazifahamu.
Ukweli mchungu unaoumiza moyo wangu mkuu naomba altenative m dying with the acquired skills what should i do?
 
Back
Top Bottom