beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 864
- 1,182
Habari za muda huu wanajamvi poleni na ujenzi wa Taifa,
Rejea kichwa cha habari tajwa mimi nilipata changamoto niliyowahi kuileta hapa wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Je, naweza kuapply mkopo mwaka huu wa masomo naombeni ushauri nilikua mnufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ninakiu ya kutimiza ndoto yangu ya kugraduate university, mwenye ushauri naomba anisaidie nipo kwenye wakati mgumu kama binadamu sina hata ndugu wa kunisupport kutimiza ndoto yangu
Nawasilisha