Kaduguda JF-Expert Member Aug 1, 2008 724 641 Mar 15, 2016 #1 Haya mambo nilidhani yanatokea Bongo tu kumbe na wenzetu pia, basi safari ni ndefu kuelekea kujikomboa kifikra!!!
Haya mambo nilidhani yanatokea Bongo tu kumbe na wenzetu pia, basi safari ni ndefu kuelekea kujikomboa kifikra!!!
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,034 Mar 15, 2016 #2 Kwi kwi kwi kwi nimekumbuka gazeti la mawio kwi kwi kwi kwi
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,731 Mar 15, 2016 #3 Hii technic naona inazidi kushika kasi sana..Na sasa imeruka hadi nje ya mipaka ya TZ..
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Mar 15, 2016 #4 Kaduguda Naona m7 akitoka msikitini hapo !!!! (siasa bhana)
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Mar 15, 2016 #5 manuu said: Hii technic naona inazidi kushika kasi sana..Na sasa imeruka hadi nje ya mipaka ya TZ.. Click to expand... Nasi tumeweza ku export utaalamu.
manuu said: Hii technic naona inazidi kushika kasi sana..Na sasa imeruka hadi nje ya mipaka ya TZ.. Click to expand... Nasi tumeweza ku export utaalamu.