Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,820
- 19,505
Ni matumaini yangu ni wazima.
Najaribu kulog in kwenye huu mtandao naona haufunguki,mwanzo nilidhani ni router.
Nikanunua mbs za kawaida bado hola,ila nilivyojaribu kuingia Kwa namna nyingine imewezekana.
Swali na kwenu kupo hivi au ni kwangu tu?
Karibuni.