Haa ha ha.. watu wanapasuliwa magari vioo kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ni balaa sanaa... Hivi hapo hata hukuogopa kama anaweza kukupiga vibaya sana??Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ni balaa sanaa... Hivi hapo hata hukuogopa kama anaweza kukupiga vibaya sana??