Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Napoleone,
Hahahahaaaaaa umesahau prof jizze alivyoimba? Mabinti wanameremeta mwanangu hauwezi jua yupi wa uswazi yupi wa masaki.
 
hahahahahah mwanaume wa hivi hapaswi kujua shida za familia yako utaishia kudhalilishwa Bora upambane mwenyewe
huyo dada laiti angelijua anasimangwa huku Angeliomba wagawane bili
Na wa ivo usiombe ukaolewa naye hauna kipato cha kuwasiadia kwenu ata kwa vitu vidogo vidogo dah utaskia anasimlia marafiki wooote yeye ndo dangote wa kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu aliyetoka Marekani na anajitambua unampeleka sehemu za kawaida ambapo kuna usalama,ukimpeleka kunakofanana sana na kwao kuna Msukuma atampeleka Sengerema afu unashangaa hataki kurudi mpaka Holiday iishe.
 
Anaambiwa ukweli wala sio kumuona mshamba dada. Sasa kama 110000 ilimuuma roho ma lunch ya mliman city kwanin alimpeleka huko wakati kuna options??

Ukiamua kujilipua kuchezea hela unaamua tu yani awe dem wa uswaz awe mzung awe mnaijeria au wa masaki unaenda dates mediterano tu kibabe. Sio unajitutumua kwa muonekano wa dem wakat unakufa na tai shingoni


Tena wa uswaz ndo ukimtoa huko sehem za hivyo yan unapewa yote
Nimejaribu kupitia comments za watu wengi, wanamuona mtoa mada kama mshamba fulan, ila nimecheka wallah kwan lazima kila unachofanya uje Ukitangaze humu eti jaman... una sasa mkuu unavyoaibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele zote 110,000/- tu....au Kuna jingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stor za vijiwen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu karunguyeye kama huyu kashajionyesha hivo akikadiriwa kodi ya papuch(hongo) kubwa mzinga laki4 au 5 anakuja kulalamika

Wakat alishamuonesha dem anaweza kuteketeza 110,000 usiku mmoja tu


Ukiishi real raha sana. Mizinga buku10 au 20
Mkuu kuna madem humu wanasema hii 110k si hela kabisa kwao,..jf kila mtu anajimwambafy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stor za vijiwen

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujawahi kushuhudia wewe Bado ni mgeni?Mimi mwenyewe nimewachezea Sana wanawake wa kila aina tena na wengine ni wake za watu wenye uwezo wanaomiliki biashara kubwa na ilikuwa nikikutana nao gharama yangu ni Castle lager 3 au 4 na gharama ya lodge tu mchezo umeisha Hadi nimewakinai na kipindi hicho nilikuwa chalii tu wa miaka 30.
Ndio maana Hadi leo hii nikihitaji demu wa viwango vyovyote vile situmii nguvu.
Kwanza wewe una umri gani isije ukawa Bado ni teenager halafu natumia nguvu nyingi kuongea halaf hunielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…