Sasa passo ata akati sjaolewa nina uwezo wa kununua gari skuwai fikiria asee kununua kababy walkker 🤣 🤣 🤣 🤣 na by then skuwa na sapot saivi ukija nako ata naona aibu kusimama kuongea na wewengoja nikupitie na kapasso kangu tuone kama hujanipa papuchi mziki mnene kanao
Ukiona umefikia hatua hii ujue umekuwa mkubwa sasa na akili inachemka. Unaanza kuona vitu vingine havina maana/vya kipuuzi. Hongera mkuuAtakuwa ana pepo kama alivyosema hapo juu.
Kuna utamu basi zaidi ya utamu wa dakika chache. Mimi kwangu ni kero na naamini wengi walitulia kwasababu ya hizi kero za kukimbizana kila kukicha na kuishi maisha yakudanganya.
ulegee na ushindwe nabaki na kausafiri kanguSasa passo ata akati sjaolewa nina uwezo wa kununua gari skuwai fikiria asee kununua kababy walkker 🤣 🤣 🤣 🤣 na by then skuwa na sapot saivi ukija nako ata naona aibu kusimama kuongea na wewe
Kapasso kako danganyishia washamba wa kushobokea magari na vitu vya watu, maana we kumiliki baby walker havina uhusiano na mm kukubali unikule!!ulegee na ushindwe nabaki na kausafiri kangu
Sawa lakini punguza dharau mkuu hakuna binadamu asiyependa maisha mazuri.
kumbe uwezekano mkubwa upo kukula bila kuwa na usafiri wowote ngoja nije pmKapasso kako danganyishia washamba wa kushobokea magari na vitu vya watu, maana we kumiliki baby walker havina uhusiano na mm kukubali unikule!!
Umenena haswaa.Kumbe mlimami city ni ya maana sana kiasi kwamba ukikutana na mtu pale ndo kujua ni matawi? Luckyline am getting old.
Kabisa kabisa mzee mwenzangu injinia mwenye paso[emoji41]
Hebu waambie hao single maza wanajishaua tu hapa
Ni kweli inaonekana tangu aanze kufanya kazi haijazidi miaka 2 halafu amechukua mkopo ndio inamzuzua anashinda nayo mlimani city ili naye aonekane mshua.Inaonekana bado hela inamsumbua hajaizoea bado.... Mbwembwe nyingiii utasema kwamba akikaa mbezi beach au masaki atakutana na yenye asali ya nyuki wadogo
Ushatanguliza ushamba wako ata unistui 🤣 🤣 🤣kumbe uwezekano mkubwa upo kukula bila kuwa na usafiri wowote ngoja nije pm
Hapa wanawake wanakuja kujishebua etiii ooh 110k ni hela ndogo sana wakati wengi wenu tena wotee hamuwez kutoka out mkajilipia bill hyo[emoji849]
Subiri twende taratibu...Hatujishaui sema nyie ndo mnaiona kubwa kiasi cha kulalamikia matumizi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
subir uone wiki hiii lazima nikupateUshatanguliza ushamba wako ata unistui 🤣 🤣 🤣
Ndio maana nakwambia wewe Bado ni mgeni kwenye hayo mambo na hujui wanawake wanataka nini!Hakuna strategy utaitumia dar na mtoto mkali usitumie pesa kaka,...mtabak kuchat tuu penz hupew,amin hlo kaka
Sent using Jamii Forums mobile app