Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Ngoma droo wewe kwako Tandale, yeye kwao survey
 
hahahaha. huyo demu nishamjua aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila kitu ukionacho ndivyo kilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anadhani dem ni wamatawi ya juu ili asiombwe hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ajui kama madem wa uswazi ndiyo wanao pendeza na wazuri kuliko wa matawi ya juu, unaweza kumkuta house girl mzuri kuliko watoto wa bosi wake, ukienda kichwakichwa kama mtoa mada utajua house girl ni kwao alafu wenye kwao ndo house girl.
Ndo maana tunawaigiziaga. Mnapenda sana kudanganywa. Kwahiyo ulimjudge ni matawi kwa kuwa alivaa akapendeza? Yani mtu asipendeze kisa sio matawi?


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we nae Kama Bint Mzuri vingine vya nini? au tu assume utamuoa haya ukimuoa unampango kwa kuamia kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu niko pamoja na wewe
ukitaka demu classic hapa jijini ni lazima kupretend hasa kwa wanaume wa kawaida tu
lasivyo utaishia kupigwa chini kila siku
Mnao wapata kwa kupretend ni vichwa panzi, regardless ya umri wao.
Wadada wanaojielewa huwa hawaangalii hizo show off.
 
hahaaa....umeuza cheni bandia,nae kakupa fedha feki..
 
Hata humu kila mtu ni matawi.
Omba nije mkoa ulipo nikwambie tuonane sasa ndo mtiahani. Utapigishwa kalenda mpaka mda wa kuondoka hamjaonana.
 
Hapa ndipo utajua mtu anataka ajulikane ana ka usafiri, acha ushamba. Demu mkali nafsi ikisharizika inatosho sio lazima achomokee masaki au mbezi beach huko.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…