King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Japo kuna watu huwa hawakubali kujielewa. Yaani anaambiwa kabisa you are not my choice na yeye anagangamala tu. Nilishashuhudia mkaka anamuoa bibi harusi ambae alikuwa anaambia kila mtu hampendi huyo kaka. Hadi wazazi wanaambiwa msiniite mkwe, mawifi wanaambiwa msiniite wifi. Na jamaa anaambiwa mi sio mkeo ila wanaongozana kwenda mafundisho ya ndoa. Sijui wanaendeleaje sasa. Sie tulichanga na kula ubwabwa; bhaaaaas!