Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
:confused3::confused3::confused3::confused3::confused3:
Nilitumia zaidi ya asilimia 90 ya mshahara wangu kumsomesha......nilikuwa na salun ya kiume na kike vyote vikafilisika kwa ajili ya matumizi yake akiwa chuo......nilijua yy ndo kila kitu kwangu....
Mambo yake yamenyooka kapata kazi na mshahara mzuri.....
Ehhhh MUNGU nisamehe mimi leo naletewa card ya mchango wa harusi yake na bwana mwingine....nifanye nn mm wanaJF.....Natamani hata niwape pesa watekaji wamuondoe katika dunia hii.......