Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

vipi ile list of shame ya mafisadi 11 pale mwembeyanga. haikusaidia kufichua watafuna nchi wa magamba?
Update listi hiyo na unawapata wala ruzuku toka chama chako, ndio maana siku hizi haishabikiwi sana.
 

Mkuu umeishia hapo kufikiri?
 
hilo ni kundi lisilokuwa na msimamo,lisilojielewa, na ni rahisi kubadilika wakati wowote,usilitegemee sana, vijana wote si sawa na machalii wavuta bange wa arusha

Nakataa hiyo. Hao vijana wanajielewa sana ndio maana wanahudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA,wakiamini ndicho chama pekee kitakachowaletea ukombozi wa kweli. Kama daftari la wapiga kura litaboreshwa naamini impact ya kundi hilo itakuwa kubwa kwa CHADEMA.
 
Kwa nini hao 30%-40% wanaojitokeza wasichague CDM waichague CCM? Kikulacho ki nguoni mwako!!!!!!!!!!!!!!!
Kama wewe ni mwanampira wa miguu, enzi za ManU ya Mzee Fagason dakika zote za nyongeza hasa baada ya dakika 90 za kawaida zilikuwa za ManU kutafuta ushindi au kusawazisha kama wamefungwa !

CHADEMA nao wakijitokeza wapiga kura wachache au kama daftari la wapigakura lisipoboreshwa wale waliojitokeza kupiga kura wote wanaipa ushindi CCM! What a lame excuse! Wakishinda, kama kule AruMeru na madiwani wa Arusha hili hatulisikii.

Tutayasikia haya hadi lini?
 
mi naona wewe utakuwa hujajitambua na siku ukijitambua mtakuwa hamna mbunge wala diwani nchi hii, athari ya daftari ni kwa wote CHADEMA na CCM, uwiano wa kura utabaki palepale hata mkiambiwa daftari mtengeneze nyie. Kwa nini unazunguka kusema chanzo ni ufisadi wa viongozi wa juu Mbowe na Slaa na wananchi wameshtuka na hawana imani tena na CHADEMA?Kingine ni mambo mliyomfanyia Zitto na wenzake sio kila mtu alipenda, mkaona mnapiga kelele kumuimba msaliti na mkakagua simu za wote wanaompigia simu mkafikiri mmeshinda, na bado mtaipata 2015. Wengi tumetokea kuichukia CHADEMA baada ya yale mambo na tunaiombea mabaya siku zote, mmeonyesha dalili za udikteta mapema na mmetusaidia kuwajua vizuri na itawachukua muda mrefu sana kurudisha imani ya wananchi.
 

hilo ni kundi ambalo linafuata upepo unapokwenda, ni rahisi sana kutekwa na chama chochote cha siasa,believe me kuna chama kitakachoanzishwa before uchaguzi kitakachobase kwa vijana hawa tu na chadema itakuwa haina chake, siasa ni mchezo mchafu
 

tatizo chadema wanafikiri vijana wote wako kama vijana wa arusha, moshi na mbeya mjini wanaopenda siasa za vurugu za kina lema na sugu, kuna vijana wako cuf, nccr mageuzi. nk, kuna wanaopenda sias za kistaarabu wasiodanganyika na chadema, before uchaguzi kuna mambo mengi sana yatatokea, sasa hivi watu wanachagua mtu na sio chama, hao vijana mnaowataka nimeshawaambia hawana msimamo watachagua mtu yoyote atakaekuwa na sera za kuwapendeza, haijalishi yuko ccm,chadema, nccr mageuzi n.k
 


Vianaeleweka lakini havijawahi tekelezwa positively hata kwa dakika tano. Badala yake imekuwa nguvu mpya ya kupora rasilimali za uma, ari mpya ya kung'oa meno ya tembo na maisha duni kwa kila mtanzania kwa kupandisha bei za mafuta, umeme nk.
 
Na sikia uchaguzi mkuu wanakodi chopa kila mkoa na yake lakini wataambulia HOLA TU. Tatizo CHADEMA ni sera zao za nchi HAITAWALIKI na watanzania hawapendi fujo na vurugu zisizo na maana, ukanda , Ubaguzi Gongo, Kulalamika hovyo, kujitia wanajua kila kitu, Fedha za ruzuku kuliwa na kikundi cha watu wachache , kula michango ya wanachama , kula michango ya akina SABODO na mengineyo ndiyo kinawamaliza na wananchi wanajua hilo.
 
Kuboreshwa kwa daftari la kudumu la mpiga kura ni sumu tosha ya kuiangamiza CCM
 
CHADEMA ina support kubwa sana kutoka kwa vijana kati ya miaka 18-26 ambalo ndilo kundi kubwa. Angalia idadi na umri wa watu wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA. Asilimia kubwa ya vijana hao hawamo kwenye daftari la wapiga kura.

Unafikiri kwa nini hawapo?

Utawaitaje supporters wakati hawapigi kura? Kwani Chadema inataka support ya nyomi kwenye mikutano na maanadamano au ya kwenye sanduku la kura? hao ni washabiki tu!!
 

Wapiga kura wanaojitokeza wengi wanaipigia kura CCM sababu tayari wanakuwa wameshachujwa. Mfano kununua shahada za wapiga kura,kutumia jeshi la polisi kuwatia hofu wapiga kura sehemu ambazo CCM hawakubaki. Ukijumlisha na kutoboreshwa daftari la wapiga kura,CCM wanashinda kirahisi,pia kumbuka mtaji mkubwa wa CCM ni wazee,watu wa makamo na kinamama watu wazima.
 
Sela ndio kitu gani hicho? Sela jamaa la mtaani linadunda huku bega moja liko chini kidogo na kitambaa kukibwa kimening'inia nyuma ya mfuko wa suruali.

ACHA kutuharibia Lugha yetu ya Kiswahili sio SELA ni SERA.
 

Wewe umezidi ndio umezidi kumpoteza tu huyo Mzee wa watu. Ungemshauri ARUDI KANISANI ungelikuwa umefanya la maana. Uwepo wake cdm ndio tatizo watu wanamuona ni mtu muongo,mfitini na ni miongoni mwa mafisadi katika cdm. Ungelimuuliza ile pesa ya ruzuku 40m aliojikopesha amesha rudisha? Hapo tungekiona umemsaidia. Kujiweka kwake mbeke kumfitini ZZT ndio hapo ndio kajichafua mwenyewe na chama chake. Msitafute mchawi.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Kwa sababu CHADEMA imepata nguvu sana baada ya uchaguzi 2010,wengi wa wanao support CDM nu vijana walio kwenye hilo rika lililotajwa kama nimemuelewa vizuri mtoa mada.

Huko ni kujitekenya tu!

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 

Huyo Dk Slaa wa sasa ni tofauti na zamani, zamani kweli alikuwa mzalendo na mpigania mageuzi ya kweli, lakini kinachoonekna kwake sasa ni kukokotwa na mbowe kwa.kila jambo,ushauri wa maana kwake lazima utoke kwa Mbowe, nazani hata yeye anmhofia Mbowe asijekuitwa msaliti.nili mkubali sana zamani lakini sasa namuona ni miongoni mwa wachumia tumbo tu.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:

tatizo maamuzi na mawazo yote ya dr,slaa yanatoka kwa Josephine. kuoa dogo dogo nako ni shida sana angetafuta kibibi kizee mwenzake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…