unakuja kwa speed sana kijana!Kazi kushobokea nyuzi na comments za watu. Nimeamua kumpa ban ya maisha
Wanaume tunaweza kurushiana ngumi na baada ya lisaa tunapiga stori freshi tuHawa ndio wanafanya Wanaume tudharaulike,unakuta mwanaume ila anakua na tabia za kivulana.
Nikilog out ndo utafutika?Umesahau kulog out