Nilichomfanyia dada wa masaji hatosahau

Hapa tumepigwa kekundu keupe..[emoji38][emoji38]
 
Kwa karne hii inawezekana kweli?
 
Nimekwazika mno!
Sikutegemea kama huu uzi ungeishia hivi dah!
😧
 
Ifike mahali story kama hizi ziwe na spoiler
 
Yaani hata kugusa tunu ya taifa kwa vidole ulishindwa? Yaani maamuzi yako ni kama ya Mbowe unapenda kuumiza wanawake ulitakiwa usimame kama Ndugai umtetee huyo mwanamke hadi dakika ya mwisho
Dah! Ndugai tena? Tz sio pakuhama aisee.
 
Unaenda kununua matatizo halafu unajisifu kwa kuyatatua ili uonekane ni jasiri. Huu si uungwana OKW BOBAN SUNZU. Halafu unajua ulivyomtesa huyu dada hawezi kukuacha na stori za kukuonea huruma kuwa unagonjweka tena maradhi mabaya mnoooo.

Mungu sio mjinga aliyetuimba na nyege akatukataza kukaribiana sana na viumbe vya kike alivyotugharamishia kiviingilia kimaumbile bila ya sheria ya ndoa kupita. Mkuu na engineer mwenyewe anaelewa vyema alivyotuumba. anajua hatuwezi kustahamili minyato na joto la mwanamke halafu ww unakuja kumprove wrong muumbaji wako. Jitafakari sio kila jambo linahitaji kutestiwa. Usijitie umwamba kwenye kujizuia na kufanya starehe za kimaumbile.

ULIOUFANYA KWA HUYO DADA NI UJINGA NA KUYADHALILISHA MAUMBILE YA KIUME.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…