Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,644
Umeona lakini! Mdogo mdogo mpaka nchi ya viwanda!
Tena vile viwanda vikubwa kabisaUmeona lakini! Mdogo mdogo mpaka nchi ya viwanda!
Kama kinavotumika kichuguu. Usiwe unashuka Chalinze.Hicho si afadhali?Niliwahi kuomba kuingia chooni Chalinze nilichokikuta sitokaa nisahau.
Choo kama kichuguu sasa sijui wanakitumiaje!
Kaka gari lilipata hitilafu pale...Kama kinavotumika kichuguu. Usiwe unashuka Chalinze.