Nilichokutana nacho leo hii baada ya kuomba niingie uwani huku uswaz!!

hahahahahahahaha ubunifu mzuri sana, niliwai kubanwa nikiwa kijiji kimoja hivi, nikawaomba wenyewe wangu nikasusu, wakaniuliza mara kumikumi dada kweli utaweza, nikawambia kwanini nisiweze, kufika toilet nilikipatapata,ila ilibidi tu nisusu hivyohivyo.
 
Hicho si afadhali?Niliwahi kuomba kuingia chooni Chalinze nilichokikuta sitokaa nisahau.
Choo kama kichuguu sasa sijui wanakitumiaje!
 
Hicho si afadhali?Niliwahi kuomba kuingia chooni Chalinze nilichokikuta sitokaa nisahau.
Choo kama kichuguu sasa sijui wanakitumiaje!
Kama kinavotumika kichuguu. Usiwe unashuka Chalinze.
 
Huwezi amini hata ukiwa na nyumba nzuri kiasi gani choo kikiwa kichafu/kinatoa harufu/kibaya/kimejaa ni aibu kubwa..Aibu zaidi siku aje mgeni unaemuheshimu na kumthamini nyumbani halafu aombe kwenda toilet kujisaidia
 
kuna hichi nilikaribishwa mahali upande mmoja uko wazi, nilishindwa kabisa kutimiza haja zangu.
 

Attachments

  • Photo0399.jpg
    Photo0399.jpg
    32.4 KB · Views: 23
Back
Top Bottom