Nilichokishuhudia Romania Dec/1989

Nilichokishuhudia Romania Dec/1989

Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
Just speculations hizo...
Plse tuwe wavumilivu.
Vijana walio wengi Jamvini, hawajui history East Europe...
Huyo Late Rais aliwahi kuja Tz kabla ya machafuko nchini kwake...
 
Just speculations hizo...
Plse tuwe wavumilivu.
Vijana walio wengi Jamvini, hawajui history East Europe...
Huyo Late Rais aliwahi kuja Tz kabla ya machafuko nchini kwake...
Mkuu nakuelewa sana, kuna jukwaa la historia ila hawaendi huko, huyo story yake anatafuta wachangiaji aina kama ya aliyesema.. "Na wa hapa mwisho wake utakuwa hivyo hivyo", . Sijakurupuka kumwambia nilivyomwambia.Wapo wengi sana ambao wanaazisha thread ili kujifurahisha na kufurahisha kundi fulani.Tuna matatizo mengi nchini,lakini sio kwa kiwango cha uzushi unaoendelea hapa JF hasa kipindi hiki.Fuatilia kwa makini utaelewa ninachojaribu kumaanisha hapa.
 
Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
Sasa wewe unataka kila MTU afurahie utawala uliopo ili iweje?,akiwa HATER wewe unaathirika vipi?unataka wote tuwe na mawazo mfanano?.kweli naanza kuamini wewe ni bonge la MJINGA.
 
Wewe ni MPUMBAVU tu, kama umewahi toka nje ya Tanzania basi ulienda kusomea ujinga. Reasoning capacity yako na IQ yako vipo chini. Kila unachopost JF thread zote ni pumba tu, kama story yako inaelezea maisha yako inatafuta nini kwenye jukwaa la siasa?, inahusianaje na siasa?, au unadhani kila mtu ni MPUMBAVU kama wewe?,.. Nitaendelea kukukumbusha kila ninapokuta umeandika pumba zako, na hapa nakukumbusha wewe ni MPUMBAVU first grade.
Mkuu mbona hasira au kwa kuwa dikiteka Nikolai sausesiko alipigwa risasi??
Lakini dawa ya madikiteta ni kupigwa risasi tu.
 
Sasa wewe unataka kila MTU afurahie utawala uliopo ili iweje?,akiwa HATER wewe unaathirika vipi?unataka wote tuwe na mawazo mfanano?.kweli naanza kuamini wewe ni bonge la MJINGA.
Mbona wapo HATERS wengi sijawatukana?,. na wewe ukianzisha thread kama yake kwenye jukwaa la siasa utakuwa ni MPUMBAVU pia.Jaribu kuelewa maana yake kuleta hii story yake jukwaa la siasa,kama huelewi na wewe utakuwa kama yeye.
 
Wewe unataka kwenye jukwaa la siasa zije thread za aina gani?.na wewe umekuwa nani kiasi cha kuwa na maamuzi juu ya nini watu waandike na nini wasiandike?.
 
Mara chatu mara ng'ombe mara mzungu mara Bucharest mara Moldova mara godoro yaani kila ukiunganisha dots unapata maluelue tu..
mara walikimbia kusikojulikana, mara wakarudi wakajifungia chooni ,mara mwanajeshi akaja kugonga mlango, mara akawapeleka ubalozini, mara haba...yaaani kaaazi kweli kweli
 
Mbona unaandika kwa lugha ya mabeberu, au umesahau kuwa hata wewe una swim with tides of white
Napinga ujinga wa mabeberu sio kwamba napinga kila kitu cha mzungu.
Kumbuka sio kila mzungu ni beberu.
 
Hahaaa... Umepanic?,. Uwe unatumia akili kabla ya kupost kitu jukwaa la siasa.Unaleta story za udikteta humu unamaanisha nini?,narudia mara nyingine WEWE NI MPUMBAVU.FULL STOP.
Najua una hasira sana mimi kwa sababu simuungi mkono Dikteta uchwara aliyeiuza nchi Rwanda kwa Kagame na alivyo punguani anatekwa akili na kushawishiwa kupewa ulinzi na Kagame.
Kweli ilikuwa ni lazima Ben Saanane atekwe na kupotezwa,alichokosea marehemu Ben Saanane ni Ku expose ID yake wakati wa kumwanika huyu mshamba wa Chato,hata mimi nikijaribu Ku expose ID yangu hapa,within 48 hours I will go missing forever.
Una hasira cause you can't catch me,na wewe ni mmoja wa wale mabwege wasiojulikana,sasa na siye tutakuwa tunawaanika bila kujulikana.
Mlidhani kwa kumuua Ben Saanane ndo huyo mshamba wa chato ataachwa kusemwa?
Mlipomuua Ben Saanane,siku hiyo hiyo walizaliwa Ben Saanane 1,000 nikiwemo mimi,kwa hiyo ni bora mngemwacha hai tu,siye tungekuwa kimya....
Hasira zako juu yangu zinanipa morali zaidi ya kuandika kuhusu ujuha wenu,kuniita mpumbavu na kuni attack unadhani nitaogopa niache kuandika,pole sana wewe muuaji.
After lunch time nakuja na topic kuelezea jinsi Kagame anavyompelekesha Magufuli na anavyolala ikulu ya magogoni (yaani he knows everything about our country).
Sasa andaa tani ya matusi kwenye hiyo thread,but you'll never stop the message from being sent,kama roho inakuuma sana kwa sababu hamuwezi kunipata basi jiue mjinga wewe.
 
Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
Yes I hate Magufuli, unanilazimisha nimpende? Mpende na familia yako, eti mimi ni hater,mpumbavu kweli wewe.
 
How does my story relate by Ufipa?kwanini mkisikia Dikteta your heart beats move rapidly?
haya maswali waulize watu wasiokujua mlengo wako.
Haya maswali waulize watu wasiojua kwanini stori hii ipo jukwaa la siasa.
Wewe ni ufipa kingine nini?
Au unafikiri watu wote hapa ni nyambole wasiweze kung'amua lengo la hadithi yako?
Leta ya Ceasar kama unayo muendelee kufarijiana wana ufipa.
 
Jana kuna uzi mmoja nilikwambia wewe ni MPUMBAVU,,. na naendelea kukukumbusha kuwa wewe ni MPUMBAVU. Unapoteza muda wako mwingi bure, huko Tanzania ya uhalisia mbali na mitandaoni maisha yanaendelea kama kawaida. Ukija kushtuka kuwa unapoteza muda wako bure kuandika UPUMBAVU wako itakuwa TOO LATE.
Wewe Ni mwehu, tena konkodi
 
Just speculations hizo...
Plse tuwe wavumilivu.
Vijana walio wengi Jamvini, hawajui history East Europe...
Huyo Late Rais aliwahi kuja Tz kabla ya machafuko nchini kwake...
Hilo nalijua sana mkuu na alikuwa rafiki mkubwa sana wa Mwalimu Nyerere,sasa namshangaa huyu anavyokuja kwa nguvu kuni attack, eti mimi ni mmoja wa hater wa current regime, sasa ananilazimisha kuipenda hii regime?
 
Baba yangu yupi? Kuna aliye mbinguni, kuna wa hapa duniani. ... specify nijue nampelekea yupi huu upuuzi wako hapa. Think before your write before you drive me mad
Baba yako wa duniani ndo mlevi,you should think deep before attacking somebody
 
haya maswali waulize watu wasiokujua mlengo wako.
Haya maswali waulize watu wasiojua kwanini stori hii ipo jukwaa la siasa.
Wewe ni ufipa kingine nini?
Au unafikiri watu wote hapa ni nyambole wasiweze kung'amua lengo la hadithi yako?
Leta ya Ceasar kama unayo muendelee kufarijiana wana ufipa.
Kwa hiyo unanichagulia jukwaa la kupost ndugu?
Kweli wonders shall never end,mbona mods wameridhia ikae political forum? au na mods ni ufipa?

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unanichagulia jukwaa la kupost ndugu?
Kweli wonders shall never end,mbona mods wameridhia ikae political forum? au na mods ni ufipa?

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
sijakupangia na kamwe sitakupangia wapi pa kupost ndio maana nimekushauri ulete hadithi ya Ceasar kama unayo ila tegemea comment zangu zitakuwa za kisiasa maana stori ipo jukwaa la siasa.
Trust me kama hii story ungeiweka jukwaa jingine nisingekomenti kisiasa kama nilivyofanya.
 
Back
Top Bottom