Nilichokishuhudia Romania Dec/1989

Nilichokishuhudia Romania Dec/1989

Jana kuna uzi mmoja nilikwambia wewe ni MPUMBAVU,,. na naendelea kukukumbusha kuwa wewe ni MPUMBAVU. Unapoteza muda wako mwingi bure, huko Tanzania ya uhalisia mbali na mitandaoni maisha yanaendelea kama kawaida. Ukija kushtuka kuwa unapoteza muda wako bure kuandika UPUMBAVU wako itakuwa TOO LATE.
Mboja unawake hasira mkuu, uko tyr mkapimwe wote viwango vya upumbavu? ukimzidi 'kiwango' itakuwaje!
 
Romania- Bucharest?Kwa maelezo yako bilasha hiyo siyo Australia.Itakuwa Austria.

Ila ujumbe wako umeeleweka.
 
Jana kuna uzi mmoja nilikwambia wewe ni MPUMBAVU,,. na naendelea kukukumbusha kuwa wewe ni MPUMBAVU. Unapoteza muda wako mwingi bure, huko Tanzania ya uhalisia mbali na mitandaoni maisha yanaendelea kama kawaida. Ukija kushtuka kuwa unapoteza muda wako bure kuandika UPUMBAVU wako itakuwa TOO LATE.
Acha kujishuku wew.............nchi yenu mbona ipo salama tu na rais wenu atamaliza vzuri tu awamu yake....kwan mna wasi wasi gani
 
Wajanja tumekuelewa ila wale "Dull Minded" kama ilivyo siku zote, ndio wanapata shida. Nimeelewa "Gist" yako kuwa mwisho wa madikteta huwa ni mbaya sana kama ilivyotokea kwa huyo Nicolae Ceucescu na mkewe Helena. Well said.
 
Now i understand why you always swim with the tide of whites.
Magufuli wanyooshe kabisa watuletee stori nyingine nyingi za kujifariji.
Any ufipa member with Julius caeser's story you may have it presented please.
Mbona unaandika kwa lugha ya mabeberu, au umesahau kuwa hata wewe una swim with tides of white
 
Nasimulia nilichokiona Romania na nilivyonusurika kuuawa na hatimaye kurudi nyumbani salama,wewe unakuja hapa na kuniita mimi ni mpumbavu,sasa kwanini unapoteza muda wako kusoma uzi wa mpumbavu?
By the way,unanijua mimi na maisha yangu wewe juha?
Unadhani nina dhiki? Mimi siyo hayawani kama wewe boya,ubongo wako umejaa kamasi tupu,ukila ukashiba ukaweka pocket money mfukoni,unaona nchi ipo pazuri sana,una tofauti gani na mbwa koko wewe? Hujui kuhusu wajane,yatima,wagonjwa,wafungwa na watoto wa mitaani wanaoteseka,juha kabisa wewe achana na mimi.
Wewe ni MPUMBAVU tu, kama umewahi toka nje ya Tanzania basi ulienda kusomea ujinga. Reasoning capacity yako na IQ yako vipo chini. Kila unachopost JF thread zote ni pumba tu, kama story yako inaelezea maisha yako inatafuta nini kwenye jukwaa la siasa?, inahusianaje na siasa?, au unadhani kila mtu ni MPUMBAVU kama wewe?,.. Nitaendelea kukukumbusha kila ninapokuta umeandika pumba zako, na hapa nakukumbusha wewe ni MPUMBAVU first grade.
 
Nilizaliwa Magu mkoani Mwanza,baadaye wazazi wangu walihamia ktk kijiji kimoja ( jina nahifadhi) kilichopo karibia na mbuga ya wanyama ya Serengeti.
Lengo la kuhamia huko ilikuwa ni kufuata malisho bora ya ng'ombe ambao wazazi wangu walikuwa wakifuga.
Siku moja mwaka 1987 nikiwa darasa la kwanza wakati huo,nakumbuka ilikuwa siku ya jmamosi nikiwa na mdogo wangu na kaka yangu tukichunga ng'ombe majira ya mchana tuliona gari aina ya Land Rover kwa mbali likiwa limesimama na nje ya hilo gari tuliona wazungu wawili na mtu mmoja mweusi.
Tuliamua kusogea karibia na hilo gari na kuwaacha ng'ombe wakichunga peke yao,tulipofika tuliwaona hao wazungu mwanamke na mwanaume wenye umri wa makamo hivi,wakiwa na yule mtu mweusi wakibadili tairi ya gari.
Yule mama wa kizungu muda wote alikuwa akilizunguka gari kama mtu anayetafuta kitu kilichopotea,na yule mtu mweusi nilimwona akiinama mara nyingi kuchungulia kwenye uvungu wa gari.
Baadaye mita kadhaa kutoka kwenye lile gari nilimwona chatu akiwa amelala kwenye kichaka kidogo ambacho yule mama wa kizungu alikuwa anaelekea huko,nilipiga kelele kwa lugha ya kisukuma kumsihi yule mama asiendelee kwenda huko,kelele zangu zilimgutua akasimama,kisha nikamwonyesha kwa ishara yule nyoka.
Alipomwona alikimbia kurudi haraka,alikuwa anajua kiswahili kidogo,akanifuata na kuniuliza jina nikamwambia,kisha akaniuliza kwanini sijavaa viatu halafu natembea porini?
Nikamjibu kuwa Baba hajaninunulia,akamwita kaka yangu na kumwomba amwelekeze kwetu.
Hiyo ni story ndefu mno.

BACK TO THE TOPIC

Baadaye wazungu hao walinipeleka Australia na nikasomea huko,kisha mama akawa anashinda akilia akitaka nirudi nyumbani,na hivyo ikabidi wanikatishe masomo ili nirudi nyumbani.
Siku narudi nyumbani Tanzania walisema twende Bucharest mji mkuu wa Romania tukale Xmas huko kisha ndo nirudi Tanzania.
Tuliwasili Bucharest majira ya jioni sikumbuki tarehe,na tulifikia kwenye Hotel moja iliyokuwepo nje kidogo ya jiji la Bucharest, mimi nilikuwa nikilala chumba cha peke yangu,siku nne tangu tuwasili hapo hali ya jiji ilibadilika ghafla,tukaanza kuona police wenye silaha wakiwa wamezagaa kila kona ya jiji hilo, siku hiyo nakumbuka tulikuwa tukila chakula cha mchana yule mama akasema tuondoke haraka turudi kwanza Australia kabla sijarudi nyumbani maana hali ya usalama ilikuwa imeanza kutoweka kulikuwa na vurugu za kisiasa baada ya waandamanaji wengi kutoweka na wengine kuwekwa jela.
Waliafiki tuanze safari siku hiyo hiyo,wakati tukitoka nje ya Hotel tuliona kundi kubwa la vijana wakiwa wamefungwa pingu na police na wakipigwa kikatili mno (usiombe kuona ni bora usimuliwe) .
Nakumbuka Dada mmoja aliuawa kwa kupigwa rungu kichwani ilihali akiwa kabeba mtoto mchanga kifuani.
Tulirudi ndani ya Hotel, kwa sababu hapakuwa na sehemu ya kupita tena,dakika chache baadaye tulianza kusikia milio ya risasi ikirindima bila kukoma,tulipochungulia dirishani tuliona wanajeshi wamezagaa na watu wakianguka chini na kutoa damu nyingi huku risasi zikilia.
Kilichonishangaza kila sekunde idadi ya watu ndo ilizidi kuwa kubwa, tukaona vifaru vya jeshi vikiwakimbiza watu na kuwagonga kama wanyama.
Dakika chache baadaye ile Hotel tuliyokuwemo ikavamiwa na jeshi na sote tukatolewa nje,alikuwepo padri mmoja mule tukashuhudia akipigwa risasi ya kichwa na damu kutapakaa eneo lote.
Hii kamwe haitanitoka maishani mwangu,tulikimbia kutoka nje tusijue tunakoelekea,na kisha tukarudi tena ndani na kujificha chooni hadi usiku wa manane tuliposikia mlango wa ukigongwa.
Alikuwa ni mwanajeshi akasema nyie wageni kimbieni kwenye balozi zenu na kama ni waandishi msijaribu kupiga picha yoyote mtapigwa risasi.
Akatuingiza kwenye gari la jeshi kisha akaomba Pesa au la atutelekeze katikati ya machafuko ili tuuawe,sikumbuki alipewa kiasi gani maana niliona akihesabiwa dola.
Aliendesha hadi sehemu moja tusiyoijua kisha akasema hiyo ni US Embassy nendeni hapo mtakuwa salama,tulikuwa zaidi ya kumi raia wa mataifa mbalimbali.
Kwa mbali kwenye taa tuliona wanajeshi wakiwa wamezingira jengo la US Embassy, yule mzee akapiga kelele "We need your help American soldiers" taa Kali ghafla ikamulika eneo tulilokuwepo halafu askari mmoja mwenye silaha akatufuata,na kuanza kuhoji maswali,
Nikawaona wakimwonyesha passport zao,akatupatia ishara tumfuate.
Tulinusurika kwa kupewa hifadhi hapo, tulilala chini kwenye magodoro safi na blanket, asubuhi tukapewa chai na tukawa tunaangalia matukio ya mapinduzi kwenye TV.
Dikteta Nicolae Ceausescu alipigwa risasi yeye na mkewe Helen baada ya jeshi kumgeuka.
Hali ilipotulia tuliondoka Romania kupitia Moldova.
Asante sana kwa story yako
 
Wewe ni MPUMBAVU tu, kama umewahi toka nje ya Tanzania basi ulienda kusomea ujinga. Reasoning capacity yako na IQ yako vipo chini. Kila unachopost JF thread zote ni pumba tu, kama story yako inaelezea maisha yako inatafuta nini kwenye jukwaa la siasa?, inahusianaje na siasa?, au unadhani kila mtu ni MPUMBAVU kama wewe?,.. Nitaendelea kukukumbusha kila ninapokuta umeandika pumba zako, na hapa nakukumbusha wewe ni MPUMBAVU first grade.
Mpumbavu ni Baba yako mzazi na mama yako mzazi kukuzaa wewe toto juha na hayawani lisilo na mbele wala nyuma,kwani jukwaa la siasa unalimiliki wewe kiasi cha kunipangia niandike nini?
Halafu kipi kinauma sana wewe mbwa? Yaani wewe ni mbwa tena mbwa koko,takataka kabisa mpumbavu mkubwa wewe.
Umeshindwa hata kuelewa thread yangu umekimbilia kunishambulia stupid wewe.
Achana na mimi shoga wewe, mshenz sana wewe paka.
 
Mkuu hujakosea miaka kweli? Maana unadai 1987 ulikua darasa la 1 halaf ukapelekwa kusoma Australia na mwaka 1989 ukawa umehitimu/maliza na kua tayari kurudi nyumbani. Ina maana ukipelekwa kusoma mwaka1 au 2 ya primary tu ! Ngumu kumeza etii!
Alisema kutokana na mama yake kulilia kurudishwa nyumbani , masomo yalikatishwa na kurudishwa nyumbani.
 
Mpumbavu ni Baba yako mzazi na mama yako mzazi kukuzaa wewe toto juha na hayawani lisilo na mbele wala nyuma,kwani jukwaa la siasa unalimiliki wewe kiasi cha kunipangia niandike nini?
Halafu kipi kinauma sana wewe mbwa? Yaani wewe ni mbwa tena mbwa koko,takataka kabisa mpumbavu mkubwa wewe.
Umeshindwa hata kuelewa thread yangu umekimbilia kunishambulia stupid wewe.
Achana na mimi shoga wewe, mshenz sana wewe paka.
Sawa kutukana wazazi hakukuondolei wewe sifa ya kuwa MPUMBAVU, na unazidi kudhihirisha ulivyo MPUMBAVU.Na hapa nakukumbusha tena wewe ni MPUMBAVU. Ulivyo MPUMBAVU mpaka sasa huelewi kwanini nakuita MPUMBAVU.Huo UPUMBAVU ulioandika ukitafuta support ya WAPUMBAVU wenzako peleka forums nyingine za story za vijiweni,ila ukiendelea kukaa jukwaa la SIASA lazima tuendelee kukukumbusha kuwa we ni MPUMBAVU. Mpumbavu ni mtu mwenye akili za kuvukia barabara tu.
 
Mpumbavu ni wewe uliyeshinda kutwa nzima unaniandama bila sababu, narudia tena wazazi ni wako ni mpumbavu tu,hawajakupa malezi juha wewe.
Mtoto mwenye malezi hafanani na wewe mbwa
Unachokitaka Kwangju ni nini wewe mtoto wa kahaba?
 
Jana kuna uzi mmoja nilikwambia wewe ni MPUMBAVU,,. na naendelea kukukumbusha kuwa wewe ni MPUMBAVU. Unapoteza muda wako mwingi bure, huko Tanzania ya uhalisia mbali na mitandaoni maisha yanaendelea kama kawaida. Ukija kushtuka kuwa unapoteza muda wako bure kuandika UPUMBAVU wako itakuwa TOO LATE.

History ya Romania, c vibaya tukakumbushwa.
TUKUMBUKE hata Schools, History hufundishwa..
Hakuna sababu ya matumizi ya lugha ya kikola.

Ukiwa mstaarabu ni sehemu ya kujali afya ya akili.
Tujali afya za akili zetu...
 
Mpumbavu ni wewe uliyeshinda kutwa nzima unaniandama bila sababu, narudia tena wazazi ni wako ni mpumbavu tu,hawajakupa malezi juha wewe.
Mtoto mwenye malezi hafanani na wewe mbwa
Unachokitaka Kwangju ni nini wewe mtoto wa kahaba?
Hahaaa... Umepanic?,. Uwe unatumia akili kabla ya kupost kitu jukwaa la siasa.Unaleta story za udikteta humu unamaanisha nini?,narudia mara nyingine WEWE NI MPUMBAVU.FULL STOP.
 
History ya Romania, c vibaya tukakumbushwa.
Hata Schools, History hufundishwa..
Hakuna sababu ya matumizi ya lugha ya kikola.

Ukiwa mstaarabu ni sehemu ya kujali afya ya akili.
Tujali afya za akili zetu...
Mkuu nina maana yangu kumjibu hivyo, huyo ni mmoja wa HATERS wa utawala uliopo hii ni kutokana na post zake nyingi, sehemu nyingi anapost vitu vya chuki tu,. Story ya maisha yake inayoishia na Dikteta fulani kupigwa risasi na mke wake ina uhusiano gani na jukwaa la SIASA?,nipe jibu please.Kwanini asipeleke majukwaa mengine?,.
 
Back
Top Bottom