- Thread starter
- #21
hapana ni temekekiongozi hebu mjibu huyu
hapana ni temekekiongozi hebu mjibu huyu
gharama jamani hotel nzuri kidogo inaanzia 30000/=! Wageni wangu walikuwa 27 nisingemudu kwa uchumi wangu...bajeti yangu ilikuwa >14! Mojawapo ya wageni walikuwa ni watumishi wa mungu !ni kweli umenena vyema rafiki,yaani hata ukimwambia mtu nilikua guest yani ina sound flan ya kutokua na heshma iv
na hayo mambo meng yapo mitaa ya sinza
unashangaa nini mbona hiyo ni kawaida ya bongo
Yote ni kwa sababu ya umasikini ...
Temeke kubwa mkuu hebu funguka
Ukiwa na wageni fanya booking ya vyumba hotel zenye hadhi, haya magest hakuna ustaarabu hata kidogo.
Naandika kwa nia nzuri ,wala si kuwahukumu watu ila najua iatwafumbua macho wengi!
Aidha nimeleta kwenye jukwaa hili makusudi kwa itagusa sana mahusiano !
Hivi karibuni nilipokea wageni toka mkoani walikuja kwa shughuli maalum!
Kutikana na umbali wa mkoa walikotoka niliona ni uungwana niwatafutie sehemu walale siku ya Kwaza afu waanze ratiba yao siku ya pili!
Nilifika eneo hilo ambako ndipo walipokuwa wanafanyia shughuli yao na kuanza kuutafuta nyumba ya wageni....eneo hilo limezungukwa na nyumba za wageni zaidi ya 7!na zote zilijaa .....baada ya kuona muda unaondoka niliamua kukodi boda2 ilianizungushe kwa haraka!
Hapo ndipo hadithi ilipoanza!
Kwanza alinihoji unataka watu wangapi nikwammwambia ni kama vyumba 10 ,akasema itakuwa ngumu kupata ! nikamhoji ni kwa nini akasema maeneo yale mida ile ni ngUmu ...akaaza kunizungusha !
kILA TULIPOENDA TULIKUTA PAMEJAA NA WAHUDUMU WA USEST WALIUAMBIA LABDA TUSUBIRI HADI SAA 2USIKU NDIPO WATAKUWA NA UAHAKIKA KAMA KUNA VYUMBA AU LAA!
kuna guest 3 tulienda tukwaambiwa pamejaa na pale nje kulikuwa na watu wanasubiri' wengine wamalize na wao waingie'!
Nilipoendelea kushangaa na yule dereva kunigundua kuwa sijui ile biashara ndipo alipoanza kunisimulia jinsi nyumba za wageni zinavyolpa kwa kupokea wageni wanao kodi kwa muda mfupi kufanyia uzinzi!.....
kINGINE NILICHOKISHUHUDIA NI UWEPO WA WASICHANA AMBAO
WAMEKODI VYUMBA NA WAKISIKIA TU KUNA MGENI ANAULIZIA VYUMBA WANATOKA WAKIWA NA KANGA MOJA NA KUJIPITISHA !
KWA UJUMLA BIASHARA YA NGONO NI KUBWA SANA!SIKUJUA NI KWANINI WATU WANABADIILSHA NYUMBA ZAO KUWA GUEST KWA KASI KUBWA!
MWISHO NILIBAINI KUWA YULE DEREVA NI MTEJA WA GUEST ZOTE ALIZONIPELEKA NA KULE ...BAHATI MBAYA TUKIWA TUNATAFUTA VYUMBA BAHATI NZURI/MBAYA ALIKUTANA NA WATU WAWILI AMBAO WANAFAHAMIANA NA NI WANANDOA AMBAO NAO WALIKUWA WAMECHUKUA VYUMBA HUMO!
TAFAKARI!
Hebu atujibu maana sisi tunakaa Bara huku, tunajua kabisa ukifika Manzese yote Tip Top nk huwezi pata vyumba saa za jioni, ukikimbilia Magomeni Bondeni ya zamani hupati vyumba vya watu 20 hadi asubuhi, labda angeenda CATE Kariakoo au ROMBO Shekilango.kiongozi hebu mjibu huyu
Hapo penye bold unamaanisha wale wanaosaini from 'Dar' to 'Dar'?kuna guest houses ziko pembezoni lakin kila ukienda zimejaa 'wageni wenyeji'. wangeita "madanguro." Mungu awalipe sawa na matendo yao.
Hapo penye bold unamaanisha wale wanaosaini from 'Dar' to 'Dar'?
mkuu, tembea na kila kitu, ikiwezekana beba na kitanda, godoro na kapeti ili utandike shuka kwenye kitanda na godoro lako, slippers utembelee kwenye kapet. vyumba vyao ni vichafu sana hata kama vinaonekana visafi. mi huwa napata shida sana inapobidi kusafiri na kulala guest house.Siyo Bongo tu mkuu, ni mahali pengi!!! Kuna siku nilisafiri kwenda Rukwa na kipindi kile guest hazikuwa nyingi sana. Ninakuhakikishia nilikaa reception nikisubiri chumba watu watoke!!!! Na kulikuwa hakuna option zaidi ya kusubiri!!!!! Hizi nyumba za wageni au hata baadhi ya hotels ni hatari sana!!!! Tena usipokuwa makini unaweza hata kutandikiwa shuka lililokwisha tumika!!! Ukifika mwambie kaisa mhudumu abadili shuka!!! Na taulo beba lako na ikiwezekana hata shuka beba. Siku hizi kama naenda mikoa ambapo hakuna descent hotel nabeba kila kitu (shuka, taulo, slippers, etc).