Nilichokiona usiku wa kuukaribisha mwaka

Nilichokiona usiku wa kuukaribisha mwaka

Mkuu hukupata hata nafasi ya kupita maeneo yenye kanisa kuangalia watu wanavyosifu na kuabudu kuupokea mwaka mpya?
Mkuu mida niloanza kuzunguka ilikuwa tayari ibaada zishaisha na watu wanarudi makwao,
 
Mkuu kuna story umeiruka hapo. Kwa 'analisis' zangu, haiwezekani utoke pale saa sita then unafika home saa tisa. Yaani umetembea kwa muda wa masaa matatu halafu story yenyewe ya survey yako ina-cover kama 45 minutes hivi. Kuna kipande cha story about 2 hours umetuficha. Kwa Psychic power zangu, hicho kipande kinahusu pale kwenye kituo cha dada poa na makaburini. Hebu tueleze bana.....muda mwingine wote ulikuwa wapi!!!!!
He he he mkuu usijali itaendelea kesho nitaendelea na doria nitabeba na kamera kabisa,
 
Wewe mwaka huu wote utashuhudia maovu.....

Kwa baadhi ya makianisa ya kikatoliki tulikuwa na kuabudu ekaristi na baada ya saa sita ndo tukaanza misa ya mkesha......
 
asanthe kutujuza wengine hatukutoka
 
Sawa...sikumbuki mara ya mwisho lini saa 6 usiku kuwa macho kwa ajili ya mkesha wa mwaka mpya....
 
Na li mwaka lako litakuwa la hivyo
La kuzurula usiku na kuchungulia maovu ya dunia tu
Hatimaye na wewe utajiunga na hao waovu na wewe kuwa muovu kama wao..
 
Itakua Ulienda kuchukua malaya ukakosea timing na bei zilikua juu sana polee.
 
Usiku wa SAA name???

iko namna, wewe nawe itakuwa ulikuwa na yako tu.
 
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka.

Nilipotoka nilifika sehemu nikakaa nakuagiza Pepsi na maji, baada ya SAA sita kufika vigelegele na kelele za furaha zilitawala, baadae nilitoka kuanza ziara yangu rasmi, hatua chache tu kutoka nilipokuwa nilikutana na kituo cha dada poa, hakika walionekana kuwa na furaha na biashara yao ilikuwa na wateja wakutosha, nilisimama dk 5 nikasepa, mbele nilikutana na makundi mawili ya watu wakiimba kufurahia kuingia 2016, niliekea eneo lingine huko nilikutana na vibaka wanamkimbiza dada mmoja wanataka kumpora nilipita haraka, sikukomea hapo niliendelea mbele nikakutana na askari wakiangalia usalama.

Safari yangu ya mwisho nilipita eneo ambako huko kuna makaburi, niliwakuta watu wameshikiilia misalaba na miguno ya hapa na pale wakingonoka juu ya makaburi hayo, huku mmoja wao alisika akisema hakika huu mwaka utakuwa mzuri kwangu (kwake) kwa jinsi unavyonifanya nahisi Niko peponi!!.

Nikifika nyymbani SAA tisa na madakika, hayo ndiyo niliyojionea usiku wa mwaka mpya,

Si mbaya nawe ukatuambia ulichona

Bahati nzuri au mbaya mimi niliuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya katika nyumba ya Mungu (kanisani), so hakuna cha ajabu nilichokiona.
 
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka.

Nilipotoka nilifika sehemu nikakaa nakuagiza Pepsi na maji, baada ya SAA sita kufika vigelegele na kelele za furaha zilitawala, baadae nilitoka kuanza ziara yangu rasmi, hatua chache tu kutoka nilipokuwa nilikutana na kituo cha dada poa, hakika walionekana kuwa na furaha na biashara yao ilikuwa na wateja wakutosha, nilisimama dk 5 nikasepa, mbele nilikutana na makundi mawili ya watu wakiimba kufurahia kuingia 2016, niliekea eneo lingine huko nilikutana na vibaka wanamkimbiza dada mmoja wanataka kumpora nilipita haraka, sikukomea hapo niliendelea mbele nikakutana na askari wakiangalia usalama.

Safari yangu ya mwisho nilipita eneo ambako huko kuna makaburi, niliwakuta watu wameshikiilia misalaba na miguno ya hapa na pale wakingonoka juu ya makaburi hayo, huku mmoja wao alisika akisema hakika huu mwaka utakuwa mzuri kwangu (kwake) kwa jinsi unavyonifanya nahisi Niko peponi!!.

Nikifika nyymbani SAA tisa na madakika, hayo ndiyo niliyojionea usiku wa mwaka mpya,

Si mbaya nawe ukatuambia ulichona
aisee na wewe hodari mweh
 
Back
Top Bottom