Nilichokiona huko kwenye Dv programme lottery

Nilichokiona huko kwenye Dv programme lottery

Ebhna kama mnavoona hapo picha hivi hua wanatumia category gan kufanya selection kwamba ni based on country yaaan kwamba wanafanya labda kila nchi ambayo ni eligible wana idadi fulan kutoka nchi hiyo au hua ni random sampling kwamba yawezekana mfano kenya wakawepo applicants lakn asiwe selected hata mmoja katika mwaka husika?


View attachment 2216296
Nimekutana nayo jana nikachoka, ndio mambo ya lottery hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom