Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
- Thread starter
- #21
OctoberKwa mwaka huu wanafungua lini maombi..kilichobaki ni kuondoka hii nchi..iliyo laaniwa kupitia viongozi wake
#MaendeleoHayanaChama
OctoberKwa mwaka huu wanafungua lini maombi..kilichobaki ni kuondoka hii nchi..iliyo laaniwa kupitia viongozi wake
#MaendeleoHayanaChama
Wapo, Kuna mmoja mkenya kapata. Kashapost New York here I'm comingWalopata watakuwepo tu![]()


Hahhah kapost wapi?Wapo, Kuna mmoja mkenya kapata. Kashapost New York here I'm coming![]()
Kapost waaap?Wapo, Kuna mmoja mkenya kapata. Kashapost New York here I'm coming![]()



Kapost Facebook Kuna group la wanaocheza DV lottery, so walikuwa wanapost mirejesho waliowin na waliokosa .Hahhah kapost wapi?
Anhaa linaitwaje hilo groupKapost Facebook Kuna group la wanaocheza DV lottery, so walikuwa wanapost mirejesho waliowin na waliokosa .
Hiyo hapo screenshot ya group nameAnhaa linaitwaje hilo group
Wajitokeze bas ..... maana kuna watu wangu wengine had wanaumwa kisa wamekosa.Walopata watakuwepo tu![]()
Mimi nimekosa aiseeWaliopata tunawaomba pia
Hahahah eti wanaumwa ndio wajitokeze humu walocheza kama wamepataWajitokeze bas ..... maana kuna watu wangu wengine had wanaumwa kisa wamekosa.
Nimesoma comment hapo eti kuna mchujo wa nchi na nchi ila hajaelezeaMimi nimekosa aisee
Sema kujaribu tuuWajitokeze bas ..... maana kuna watu wangu wengine had wanaumwa kisa wamekosa.
NasomaMleta mada soma miongozo...
Mchujo huo umekaaje?Nimesoma comment hapo eti kuna mchujo wa nchi na nchi ila hajaelezea
Hahahahhaa ndio ucheki sasaaa nan kakwambia sasa umeshinda?Mimi nimeshinda japo bbado sijjacheki.