Nilichokiona huko kwenye Dv programme lottery

Nilichokiona huko kwenye Dv programme lottery

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Ebhna kama mnavoona hapo picha hivi hua wanatumia category gan kufanya selection kwamba ni based on country yaaan kwamba wanafanya labda kila nchi ambayo ni eligible wana idadi fulan kutoka nchi hiyo au hua ni random sampling kwamba yawezekana mfano kenya wakawepo applicants lakn asiwe selected hata mmoja katika mwaka husika?


Screenshot_20220508-093051.jpg
 
Kwa hawamu y kwanza n random selected then mchujo wa pili ndo wanaangalia based kweny nchi etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom