si rahisi kama unavyodhani na udogo sio tatizo nina kumbuka na hata majuzi nilimpigia simu mtu ambae alikuwepo kwenye hilo tukio na analikumbuka vizuri tu lkn nilivyomuuliza yeye mpk sasa anahisi ilikuwa ni nini alisema hajui..! how can a dream become like that..?Umesema ulikuwa mdogo,... Kuna uwezekano ulikuwa umelala kwa uchovu wa harusi, na hAyo uliyoyaona ni ndoto...achana nayo.
Google aurora, ni normalNiaje wadau?
Hili tukio nililishuhudia kwa macho yangu wala sio stori..
Ilikuwa ni jijini mwanza mwaka 2006 tukiwa kwenye gari tunatoka kwenye harusi usiku kama saa nane hivi ama saa tisa usiku.
Tulitoka harusini salama salimini safari ilikuwa ndefu kidogo lkn tulipokaribia kufika gari tuliokuwa tumepanda iliishiwa mafuta!
Dereva akaipaki gari pembeni mtu mmoja akashuka kukimbilia petroli ilikuwa ni maeneo ya ghana kwa wakazi wa mwanza nadhani mnapapata.
Wakati tukisubiri petroli huku wengine wakiwa wameshuka wakibalizi ghafla tuliona mwanga wa kijani umetanda pote!
Kucheki juu niliona kitu hicho kikitoa mwanga huo huku kikienda juu kwa kasi na mwanga huo ulidumu kwa sekunde kama sita hivi na kile kilichotoa mwanga huo kilipotelea angani!
Kusema kweli mapigo ya moyo yalinienda mbiombio..Watu walisema ni satelite lkn hawakuwa na uhakika.
Kutokana na utoto nliokuwa nao sikuhoji sana lkn sasa nimelifikiria tukio lile nimekosa majibu pia nimejaribu ku google ni satelite gani ilirushwa mwaka huo but no..
Kama ni satelite ni lini Afrika ama tanzania tumeirusha huko angani mwaka 2006...? but nothing!
Wadau kama kuna alieshuhudia tukio lile na anajua ni nini kile kilichotokea anijuze maana kichwa kinanikeleketa kutaka kujua ni nini kile..?
Hata leo nimekuwa nikiwauliza na kuwakumbusha tuliokuwa nao siku ile lkn jibu walitoa ni satelite! Hivi satelite ikiwa inarushwa ndo hutokea vile..?
Na tatizo jengine nililoliona hapa ni kuwa sisi waafrika sio wafuatiliaji wa mambo kiundani.. (But not all).
Wadau ni hivyo tu kama kuna anaejua anijuze and that is all...!
Karibuni
Umesema ulikuwa mdogo,... Kuna uwezekano ulikuwa umelala kwa uchovu wa harusi, na hAyo uliyoyaona ni ndoto...achana nayo.
Ha ha haUmesema ulikuwa mdogo,... Kuna uwezekano ulikuwa umelala kwa uchovu wa harusi, na hAyo uliyoyaona ni ndoto...achana nayo.
Dogo alionjeshwa mvinyooo....hahahaPia yawezekana alinyweshwa pombe ndio maana watoto hawaruhusiwi kwenye reception za harusi.
ulikuwa bado mtoto mwaka 2006 duuh!Niaje wadau?
Hili tukio nililishuhudia kwa macho yangu wala sio stori..
Ilikuwa ni jijini mwanza mwaka 2006 tukiwa kwenye gari tunatoka kwenye harusi usiku kama saa nane hivi ama saa tisa usiku.
Tulitoka harusini salama salimini safari ilikuwa ndefu kidogo lkn tulipokaribia kufika gari tuliokuwa tumepanda iliishiwa mafuta!
Dereva akaipaki gari pembeni mtu mmoja akashuka kukimbilia petroli ilikuwa ni maeneo ya ghana kwa wakazi wa mwanza nadhani mnapapata.
Wakati tukisubiri petroli huku wengine wakiwa wameshuka wakibalizi ghafla tuliona mwanga wa kijani umetanda pote!
Kucheki juu niliona kitu hicho kikitoa mwanga huo huku kikienda juu kwa kasi na mwanga huo ulidumu kwa sekunde kama sita hivi na kile kilichotoa mwanga huo kilipotelea angani!
Kusema kweli mapigo ya moyo yalinienda mbiombio..Watu walisema ni satelite lkn hawakuwa na uhakika.
Kutokana na utoto nliokuwa nao sikuhoji sana lkn sasa nimelifikiria tukio lile nimekosa majibu pia nimejaribu ku google ni satelite gani ilirushwa mwaka huo but no..
Kama ni satelite ni lini Afrika ama tanzania tumeirusha huko angani mwaka 2006...? but nothing!
Wadau kama kuna alieshuhudia tukio lile na anajua ni nini kile kilichotokea anijuze maana kichwa kinanikeleketa kutaka kujua ni nini kile..?
Hata leo nimekuwa nikiwauliza na kuwakumbusha tuliokuwa nao siku ile lkn jibu walitoa ni satelite! Hivi satelite ikiwa inarushwa ndo hutokea vile..?
Na tatizo jengine nililoliona hapa ni kuwa sisi waafrika sio wafuatiliaji wa mambo kiundani.. (But not all).
Wadau ni hivyo tu kama kuna anaejua anijuze and that is all...!
Karibuni
Mkuu,Naomba unayetaka kumjibu jiulize, kwa nini kama hao wenye arusi walijua wangeenda mbali hivyo, mbona hawakuweka mafuta ya kutosha?
Kama ni vipi, kwa nini mwanga huu utokee ghafla na kupotea?
Nadhani, kuisha mafuta ilikuwa ndio The only chance ya ujumbe flan kufikishwa kwa walengwa. Kuna kaujumbe hapo
Bora ungepita kimya kimya tu kama hujui kitu na si kwa maneno hayohao wachawi walikuwa wanaenda kusikiliza siri za mungu
Una uhakika gani kama sipo correct??Bora ungepita kimya kimya tu kama hujui kitu na si kwa maneno hayo
Bora ungepita kimya kimya tu kama hujui kitu na si kwa maneno hayo
Airbantu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuanzie hapa mtoa post, "unaijua airbantu??"
Acha ushamba kwani kipya ni nini alichosema,umeamua kushiriki mitandao ya kijamii tegemea majibu ya kila ainatena ngoja nikufate pm nikuchane vizuri
kwan na ww unataka nn??Airbantu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha ushamba kwani kipya ni nini alichosema,umeamua kushiriki mitandao ya kijamii tegemea majibu ya kila aina