Mimi nilikwenda mlimani ct jana, kweli nimeamini kweli hii nchi rushwa na urasimu havitakwisha, kwani tukiwa pele kwenye foleni yakwenda kununua simu, watu wapikua wengi sana, lakini chakushangaza hakuna aliepata simu hata mmoja ghafla tukatangaziwa kua simu zimekwisha, at the same time kuna wahindi walikua wakiingia kwa mlango wa nyma na wakitoka na mabox ya waliouziwa simu kwa jumla, then hata wafanyakazi wenyewe wa voda walikua wanaiga dili za kutolea watu simu kwa mlango wa nyuma, so sad. So sikujua walituita pale kwenda kutuuzia nini hata sielewi, VODACOM kuweni wastaarabu msipotezee watu muda kwa vitu vya kipuuzi kama hivi next, I HATE YOU