Nilichojifunza kwa baba Askofu

Alafu yule dada hata hajitumi kabisa yani kalala kifo cha mende mzee baba ndio fundi wa kudungunyuka
 
Amekanusha hadi kiganja chake cha mkono wa kulia akakiita ni cha baunsa.
Akasahau mistari ya kwenye kiganja chake kuwa ilionekana alipokuwa anaiseti simu irekodi vizuri.
Hivi kweli inawezekana,
Kiganja cha mkono kiwe cha baunsa, ila mistari ya kiganjani iwe ya kwake ?
 
Hahah hakyanani huyu mzee mpaka huu mwezi uishe atakuwa ameshapungua kilo 10
Hapungui kilo wala nini kama hujui.
Huenda alifanya hivyo kwa makusudi Kabisa.
Ili kutimiza masharti ya Freemasoni.
 
Hapana nakataa, kama ndo hivyo asinge kuwa anahaha kujisafisha
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Kesha udhalilisha Ukristo tayari, lengo limetimia.
Mengine ni hangaisha bwege to kama hujui.
Huko kwa Lorge keshapanda Cheo.
 
Hivi kwa nchi za wenzetu kile kiganja hawawezi kugundua ni cha nani?
 
Kiganja cha kwanza kile kina mistari mitatu iliyoko visible ila cha kwenye video iko minne
 
Kiganja cha kwanza kile kina mistari mitatu iliyoko visible ila cha kwenye video iko minne
angalia vzr kignj
ch kweny kamera kipo visible cz kipo karb n camera icho kingn mstar wa nne unaonekn kw mbal kutokan n camera ipo mbali look well
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…