Unajua mnaweza kuwalaumu hao wanawake,ila wanawake huwa wanaamini sana hisia zao..mwanamke hawezi kufanya maamuzi kama moyo wake haujaamua,ni heri hata uliamua kuachana naye cos ungeambulia maumivu makali sana kama ungeendelea kuforce mambo.Kuna demu nilimfahamu kupitia job, alikuwa ni client, nikamuelewa nikafanya mishe nikapata namba.
Nikawa nawasiliana nae. Namuulizia hali yake, ananiomba ushauri kuhusu hali yake.
Hadi nilienda kumsalimia kwao.
Tukawa tunapiga stori (kwenye simu) yaani naona huyu anakuja kabisa, kilichobaki ni kurusha ndoano
Nikaona hana dalili ya kuwa na mtu, nikarusha ndoano. Akaruka, eti kwa sasa hataki mahusiano.yamemtesa hapo nyuma.
Nikaforce, akasema labda usubiri. Nikasema sawa ngoja tuone.
Mdogomdgo nikaona mimi ndio nahangaika kumtafuta, au kuanzisha mawasiliano.
Mwaka 2024 nikaanza kuwa namkaushia, hata wiki mbili hadi tatu.
Naona na yeye hata hanitafuti.
Nikaconclude kisicho riziki hakiliki.
Ila demu ni mkali jamani.
Kabisa mkuuUnajua mnaweza kuwalaumu hao wanawake,ila wanawake huwa wanaamini sana hisia zao..mwanamke hawezi kufanya maamuzi kama moyo wake haujaamua,ni heri hata uliamua kuachana naye cos ungeambulia maumivu makali sana kama ungeendelea kuforce mambo.
Haijalishi ana muonekano gani, jifunze ku flow with life force. Ambapo hutakiwi ndio njia ambayo hutakiwi kwenda. Ukilazimishanin the future unaumia, nenda unapokubalika always, utashangaa sana maisha yatavyo enda smoothKuna demu nilimfahamu kupitia job, alikuwa ni client, nikamuelewa nikafanya mishe nikapata namba.
Nikawa nawasiliana nae. Namuulizia hali yake, ananiomba ushauri kuhusu hali yake.
Hadi nilienda kumsalimia kwao.
Tukawa tunapiga stori (kwenye simu) yaani naona huyu anakuja kabisa, kilichobaki ni kurusha ndoano
Nikaona hana dalili ya kuwa na mtu, nikarusha ndoano. Akaruka, eti kwa sasa hataki mahusiano.yamemtesa hapo nyuma.
Nikaforce, akasema labda usubiri. Nikasema sawa ngoja tuone.
Mdogomdgo nikaona mimi ndio nahangaika kumtafuta, au kuanzisha mawasiliano.
Mwaka 2024 nikaanza kuwa namkaushia, hata wiki mbili hadi tatu.
Naona na yeye hata hanitafuti.
Nikaconclude kisicho riziki hakiliki.
Ila demu ni mkali jamani.
Mwaka wa pili huu namfukuzia Latifa, ***** ngoja niendelee jifanya zoba kwake huenda kuna siku nitalamba asali..Nliwahi kufukuzia Manzi Miaka miwili, na nlikuwa najua kabisa hana feelings namimi baadae akakubali. Mambo yakawa upside-down akanielewa hadi ikawa kero kwangu , now kanizalia na ka-baby boy[emoji3059]. (Wanawake hawaeleweki unaweza kubaliwa mapema lakn ukaanza kuoneshwa drama mapema pia usikalili).
NB, Huna ĥela na Sio Handsome jifunze kuforce tu No way[emoji1787][emoji1787]