Habari wana JF poleni na majukumu ya kazi......Naomba niende moja kwa moja kwa point yangu hapo juu ya kuhusu hili Jiji letu la Bongo dar
Kwanza kabisa nianze na wakazi wa hili Jiji wengi wanashinda njaa pia
Familia nyingi hazilelewi kama Sisi tunaotokaa huko mikoani
Wengi wa waajiriwa na kipato chao hakikidhi mahitaji yao hivyo kufanya waishi maisha ya kukataa hata ndgu na kujikuta wako busy pindi wanapowatembelea.
Wengi hawana hofu ya Mungu kiasi Ni rahisi kukuta Mauwaji, Ugomvi, Ukahaba, Ujambazi na wivi kwa vijana ambao ndio panya road tishio katika baadhi ya mitaa.
Wengi wa vijana wanaokuja toka mikoani hawana pakulala na hata pia wale Machinga wa baadhi ya masoko makubwa huwa wanalala hapo hapo kwa biashara zao.
Nimalize na hili la unaweza kuwa kwenye Hali Nzuri tu ya kiuchumi na mara ghafla ukajikuta huna kitu kabisaaa hii ndio Dar haina mchezo.
Hapa dsm watu wana-focus na Maisha yao most of the ni-Hard worker[emoji849] kwani lazima.
Amekuja week hii kutafuta kazi na amefikia kwa dadake aliyeolewa vingunguti[emoji1787]We dar yenyewe unaijua? Au unaisikia redion?
Huko sio Dar.Tabata segerea na mishe zangu K koo
Mkuu umenena sanaa[emoji3][emoji3][emoji3]Bongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani [emoji23][emoji23][emoji23] wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Mkuu usije sababisha bushman GENTAMYCINE akauza ng'ombe Zake kijijini kwao Bunda vijijini aje Dar kula hizo bata. Mkuu GENTAMYCINE usi amini Maneno.ya Extrovert anafurahisha tu genge , wewe jikalie zako huko huko Mugumu Serengeti uendelee kupost vituko hapa jfBongo ni kawaida unaweza ukawa unatubu zako ghetto huelewi waya mkali hujaiona siku kwa mlo hata mmoja, wakati huo mtaa wa jirani kuna wahuni wanavunja glass, bangi nyingi, vifua wazi na babecue wakiwa wameegesha ndinga zao za hatari uwani πππ wakiburudishwa na milupo pisi kali. Yani kama mtoni vile. Wanatumia hela tu hata week nzima.
Hahahahhaha anaweza akalia ila ndio maisha ya mjiniπππ!!!Mkuu usije sababisha bushman GENTAMYCINE auze ng'ombe kijijini kwao Bunda vijijini aje Dar kula hizo bata. Mkuu GENTAMYCINE usi amini Maneno.ya Extrovert anafurahisha tu genge , wewe jikalie zako huko huko Mugumu Serengeti uendelee kupost vituko hapa jf
Ma born town tunajua ndio life ilivyo ila wa Ludewa lazma abakie mdomo waziMkuu umenena sanaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ajabu Kuna watu wanapinga hii situation mkuu anyway shukrani kukazia point zangu hapoDar ovyo sana,nime-expirience maomba omba wakamilifu wamekua wengi.Juzi nimeenda kwa mishe zangu binafsi,ukiwa smart wanajua unazo,mara mbili niko mgahawani,mtu from no where anaomba umnunulie chakula,Yes nanunua naijua njaa, wanawake zaidi ya wawil wanaomba nauli sijui ya mkuranga, God forgive me,sikuwapa..
Nimekua dar mara nyingi sikuwahi kukutana na hii situation kabisa,na mikoani hakuna kabisa huu udwazi...
Naamin saiz maisha ni magum kuliko msimu wa Jembe JPM...
Tuendelee kukopa f..u..c...k