Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 319
- 695
Unakuta pisi hana nyashi sio mrembo mweusi ti kwanza wengi wao wapo kijijin.hiz namba kuzimilik n rahis ila lazima uwe na roho ngumu.maana wana sura za kazi.
Wananuka gundu kinoma inahitaji uwe na roho ya kunguruNamba hizi hazijatumika kabisa
Usipokua makini unaopoa MwangaUnakuta pisi hana nyashi sio mrembo mweusi ti kwanza wengi wao wapo kijijin.hiz namba kuzimilik n rahis ila lazima uwe na roho ngumu.maana wana sura za kazi.
Asante studioAcha woga, tafuta ka mchuchu kazuri kama pipi , katamu kama chocolate ufurahie maisha. Mwisho wa siku utaoa mazimwi😅😅😅. Fikiria watoto wako watakaozaliwa.
Ukiringiwa kula ushibe utafute mwingine bro, usiibebe chuki....chuki ni sumuYote Haya chanzo ni tamaa za kijinga za watoto wa kike.
Halafu ukizingatia Asilimia kubwa ya Hawa mabinti wengi sio kwamba ni wazuri ila make ups ndizo zinawapa jeuri na kujitangaza mitandaoni ili wanaume wawaone wawatongoze.
Usichana ukiisha wanarudi mafichoni na kuanza kujifanya wanajua mapenzi ya kweli. Wengi sana walioringa miaka ya 2000 - 2013 wameshasanda maana wamechakaa na hawana tena cha kuringia.
Mwanamke mwenye maringo ni mjinga anayejimaliza yeye mwenyewe.
Umenikumbusha pisi yangu ya kimakonde, sura ya kazi ila yeye ana Tako kama milima ya ulugulu 😁Unakuta pisi hana nyashi sio mrembo mweusi ti kwanza wengi wao wapo kijijin.hiz namba kuzimilik n rahis ila lazima uwe na roho ngumu.maana wana sura za kazi.
Wewe umewaza hivyo, mimi nimewaza hivyo na yule kawaza hivyo!Unakuta pisi hana nyashi sio mrembo mweusi ti kwanza wengi wao wapo kijijin.hiz namba kuzimilik n rahis ila lazima uwe na roho ngumu.maana wana sura za kazi.
Ukiringiwa kula ushibe utafute mwingine bro, usiibebe chuki....chuki ni sumu
Hawachelewi kukutangaza kwa ndugu zake kuwa kapata mchumba.