Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
- Thread starter
- #41
Anaweza kuwa anaelewa,Yuko kwa kazi maalumu ya kupiga miruzi!Lucas anasumbuliwa na uelewa mdogo
Anaweza kuwa anaelewa,Yuko kwa kazi maalumu ya kupiga miruzi!Lucas anasumbuliwa na uelewa mdogo
Tutafika tuuHalafu wanawachukia wanaohubiri mabadiliko. Wanawachukia wanaona nchi haiwezi kuwa yenye utawala unaovunja sheria
Sawa,umejibu pia kipumbavu!Umeandika upumbavu
Mimi si najiona bora kuliko wewe.Shida Yako unataka ujuaji,na kujiona Bora kuliko wenzako ndio walewale kina Lukas Mwashambwa!, Tofauti ni mtazamo tuu! Hongera MSOMI,hata makaburini kuna wasomi hawaongei!
Nyani haoni kundule, Wewe hujioni ni mjivuni,huna lugha za staha,kuandika hicho kiingereza Cha mwembetogwa,unajiona ndio lugha sahihi,Wewe ndio zaidi ×120,Kuliko huyu unayemsema,hapo tuu kwa mwenye Hekima umefeli Mkuu!Pole Yako.Mimi si najiona bora kuliko wewe.
Mimi naangalia hoja, siangalii personality.
Kwa uzi huu, ulichoandika hapa, hoja zangu ni bora kuliko zako.
Nimeweza kuzi contradict hoja zako kimantiki, kwa kutumia mifano hai.
Na wewe hujaweza kujibu critique yangu.
Umejaribu kuwaweka watu wa Zanzibar kana wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno.
Nimekuwekea kauli za Samia zinazoonesha hoja zako ni za kijinga tu. Samia si mpole, huwezi kusema si mjivuni, huwezi kusema hana makuu.
Rais anayewapangia wahubiri nini ni cha Mungu na nini ni cha shetani utasemaje hana makuu? Huyu kajikweza kuzidi urais kajipa uongozi wa dini sasa, utasemaje hana makuu?
Rais anayesema kuwa atashinda uchaguzi mkimpigia kura au msipompigia kura utasemaje si mjivuni?
Rais anayesema kifo ni kifo tu, bila huruma kwa watu, utasemaje ni mpole?
This is utter and complete rubbish.
Bloody idiotic imbecilic ignorant impotent rubbish.
Maana unataka niseme nisicho kuona Mimi ili nikufurahishe wewe!Hunijui sijui,kuwa na Heshima hata nusu kijiko .Sasa mtu kama Wewe ndio uwe mshauri wa Raisi kwa Akili hii! Duuh tuna safari ndefu sana kama ndio hivyo,no reforms no election Ina maana Nyingi Sana.!Nyani haoni kundule, Wewe hujioni ni mjivuni,huna lugha za staha,kuandika hicho kiingereza Cha mwembetogwa,unajiona ndio lugha sahihi,Wewe ndio zaidi ×120,Kuliko huyu unayemsema,hapo tuu kwa mwenye Hekima umefeli Mkuu!Pole Yako.
Kiingereza ni lugha ya kawaida. Hata hapa JF ukitaka kujibu unabofya "Reply" ni Kiingereza hicho.Nyani haoni kundule, Wewe hujioni ni mjivuni,huna lugha za staha,kuandika hicho kiingereza Cha mwembetogwa,unajiona ndio lugha sahihi,Wewe ndio zaidi ×120,Kuliko huyu unayemsema,hapo tuu kwa mwenye Hekima umefeli Mkuu!Pole Yako.
Nilimuona wa maana kumbe mjinga flani,I can't reply your comments from now onward.Kiingereza ni lugha ya kawaida. Hata hapa JF ukitaka kujibu unabofya "Rwply" ni Kiingwrwza hicho.
Na Mwembetogwa ni kwetu tangu hapajajengwa Fire Station. Tangu Baba Kabwela hajaenda UNO. Tangu Jumbe Tambaza yupo hai. Tangu Jumbe Chamgui ana gari zake za biashara. Tangu Sunday Manara anacheza mpira.
Wewe una inferiority complex.
Sasa natokankwenye Kiingerwza nakuandikia Kilatini.
What you wrote is an ad hominem logical fallacy.
You are not addressing my points, you are attacking me personally.
Ad hominem.
Unaulimbukeni wa machimbo!Nilimuona wa maana kumbe mjinga flani,I can't reply your comments from now onward.
Hauwezi kuniibia alafu nikujue alafu nikwambie kwa upole we kichaa, lazima unate.Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo, lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Sawa,siko kumtetea,soma vizuri maelezo yangu Mkuu!Hauwezi kuniibia alafu nikujue alafu nikwambie kwa upole we kichaa, lazima unate.
Unayemtetea alifaa kuchomwa moto adharani au kuuwawa vibaya adharani uku wanawe na mmewe wanaona
Sihitaji unione wa maana.Nilimuona wa maana kumbe mjinga flani,I can't reply your comments from now onward.
Ngoja nikujibu huna hoja ya kubishana na Mimi Wewe ni mjivuni tuu,na mara Nyingi wajivuni Huwa wako kama Wewe na Hekima hawana,unachokosoa na ulivyo, ndivyo ulivyo,jichunguze,Ina maana husomi hoja za wenzio? wewe ndio uone boriti kwangu huna tofauti na mwashambwa!Sihitaji unione wa maana.
Hoja, hoja, hoja ndiyo muhimu.
Unakimbia kwa sababu huna hoja.
Unakiponxa Kiingereza halafu hapohapo bado unakitumia.
Hapo nani mjinga sasa?
Uliandika hivi.Ngoja nikujibu huna hoja ya kubishana na Mimi Wewe ni mjivuni tuu,na mara Nyingi wajivuni Huwa wako kama Wewe na Hekima hawana,unachokosoa na ulivyo, ndivyo ulivyo,jichunguze,Ina maana husomi hoja za wenzio? wewe ndio uone boriti kwangu huna tofauti na mwashambwa!
Ungesoma Hoja yangu,usingekuja huku kwa kunishambulia kidharau,ila ndivyo Binadamu wengine walivyo, wahenga wakisema kwenye : Msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani!Sihitaji unione wa maana.
Hoja, hoja, hoja ndiyo muhimu.
Unakimbia kwa sababu huna hoja.
Unakiponxa Kiingereza halafu hapohapo bado unakitumia.
Hapo nani mjinga sasa?
Wewe guluguja usiye na uti wa mgongo wala ubongo hata ukishambuliwa kwa dharau ni sawa tu.Ungesoma Hoja yangu,usingekuja huku kwa kunishambulia kidharau,ila ndivyo Binadamu wengine walivyo, wahenga wakisema kwenye : Msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani!
Nitakujibu na ili ufurahi!We andika unavyowaza, maana hunipi pumzi, chakula,Bando, sanasana unaweka bize na kubofya!Najielewa nilivyo na Wewe unajielewa ulivyo! Hamna noma.Pua zetu zote zimetizama chini, hakuna wa kutoshuka chini!Tukiwa hai tunatamba!Maisha ni Safari Ishi upendavyo mkuu!Uliandika hivi.
"I can't reply your comments from now onward."
Lakini umeshindwa kutonijibu umejibu tena mwenyewe.
Hujui hata unataka kufanya nini, kunijibu au kutonijibu.
Kweli huna Akili,hapa unabishana na baba Yako! Duuh kweli Bora unyimwe Mali sio Akili! Wanaona watu ulivyo na marks unapata!Wewe guluguja usiye na uti wa mgongo wala ubongo hata ukishambuliwa kwa dharau ni sawa tu.
Kwa sababu unastahili dharau, ni mjinga.
Na nitakufundisha jinsi ya kutomjibu mtu.
Nakuoeleka kwenye ignore list kuanzia hapa sitaona kabisa unachopost.
Hujafikisha viwango vya kujadiliana na mimi.
Ubora wako anaujua mkeo na familia Yako,hata Mimi Hivyo hivyohivyo,tunajadili Nini na Wewe Unafanya Nini!Ndio uwe mshauri wa Raisi mtu Kama Wewe kweli, Tuna safari ndefu kwa Akili zako!Wewe guluguja usiye na uti wa mgongo wala ubongo hata ukishambuliwa kwa dharau ni sawa tu.
Kwa sababu unastahili dharau, ni mjinga.
Na nitakufundisha jinsi ya kutomjibu mtu.
Nakuoeleka kwenye ignore list kuanzia hapa sitaona kabisa unachopost.
Hujafikisha viwango vya kujadiliana na mimi.
Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo, lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.