Nilichogundua kwa Rais

Nilichogundua kwa Rais

Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!

Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.

Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo,lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Ni kweli. Huyu mama tunaweza kuwa tunamuonea kwa sababu amaezungukwa na mapapa hata yeye anayaogopa. Huyu alikuwa anafiti huko huko Zanzibar.

Wazanzibar hawana kona kona. Tazama walivyopambana mpaka wakapata bendera yao na mwisho wa siku wakabadilisha katiba na kuruhusu serikali ya umoja wa kitaifa ili tu kuleta amani.

Shida ni huku bara wasaidizi wake wanafiki, wabinafsi wanamshauri kwa kuangalia maslahi yao ilimradi tu waendelee kula keki ya taifa na familia zao.

Tujiulize, mbona CCM ya Zanzibar walikaa chini wakaweka mambo yao sawa na upinzani? Iweje CCM ya bara haitaki maridhiano na wapinzani wakati chama ni kile kile? Hapo ndipo utagundua utofauti wa Wazanzibar na Watanganyika katika misimamo!
 
Embu fikiria mtu mzima anawakaribisha watu wazima chakula. Badala ya kuwambia karibuni chakula anapaza sauti " JAMANI KARIBUNI PILAU" Pilau ni nini sasa??
Lakini chanzo ni uelewa mdogo ambao kimsingi ni changamoto kwa watanzania wengi sana
Kuna Jamaa walimsusia chakula msibani, anasema msiondoke,kuna minyama kibao,mle mpaka msitamani kurudi kwenu!
 
Walikuwa sahihi kabisa. Yaani alifikiri watu wazima wameacha shughuli zao na mbo kibao kwenda kufuata nyama! ? Nyama ina maana gani sasa kwamba ionekane ya ajabu kivile?? Hata wanaokula kwa mama listen chakula cha 2000 nao hupewa nyama na wanashiba pia
 
Kuna watu tumepewa akili ya kung'amua Madhuri na mabaya, wengine huo uwezo hawana , inabidi kuwabooost kidogo ubongo wao Ili wawe sawa kiakili, tuzidi kuwaombea na kiwasanua wale wasio na huo uwezo, mana ndo wanao kwamisha no reforms no election , machawa tuwakatae , unfollow, wasanii tusiwaspoti huko YouTube na mitandai mingine Ili wapate njaa kidogo ya pesa mana ndo zinawapa kiburi.
 
Attachments

  • image-2.jpg
    image-2.jpg
    112.8 KB · Views: 9
Ni kweli. Huyu mama tunaweza kuwa tunamuonea kwa sababu amaezungukwa na mapapa hata yeye anayaogopa. Huyu alikuwa anafiti huko huko Zanzibar.

Wazanzibar hawana kona kona. Tazama walivyopambana mpaka wakapata bendera yao na mwisho wa siku wakabadilisha katiba na kuruhusu serikali ya umoja wa kitaifa ili tu kuleta amani.

Shida ni huku bara wasaidizi wake wanafiki, wabinafsi wanamshauri kwa kuangalia maslahi yao ilimradi tu waendelee kula keki ya taifa na familia zao.

Tujiulize, mbona CCM ya Zanzibar walikaa chini wakaweka mambo yao sawa na upinzani? Iweje CCM ya bara haitaki maridhiano na wapinzani wakati chama ni kile kile? Hapo ndipo utagundua utofauti wa Wazanzibar na Watanganyika katika misimamo!
Kongole kwako Mkuu,nilifanya kazi na mdogo wake Salmin Amour Juma, alikuwa muongeaji,kamwe alikuwa hajinasibu kama ni mdogo wake jamaa na akiwa madarakani!Shida ni hawahawa ,Bara,naitaja mkoa,Mbeya,Iringa,Njombe,Rukwa,Ruvuma, Morogoro,Dodoma, Songwe kwa kina Lukas Mwashambwa!,Pwani,Dar,Manyara,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Lindi,Mtwara,Mwanza,Geita,Simiyu,Singida,Tabora,Kagera,Kigoma nk,Huku kwa watu Hawa Ndio tunaofitinisha Nchi na Wananchi.
Walikuwa sahihi kabisa. Yaani alifikiri watu wazima wameacha shughuli zao na mbo kibao kwenda kufuata nyama! ? Nyama ina maana gani sasa kwamba ionekane ya ajabu kivile?? Hata wanaokula kwa mama listen chakula cha 2000 nao hupewa nyama na wanashiba pia
Mdomo uliponza kichwa!
 
Meza ya Raisi huko Ikulu ingezungukwa na Wakulima,Wafanyakazi,Wafugaji,Wafanyabiashara,Watu wa Dini, Wanasheria!Hapo angepata jambo jema!Kama vile naanza kuona Usomi hauna maana!
 
Tatizo wengi hawaijui CCM kama Mimi!!

CCM wanakupa maelekezo ukishika ufanye Moja ,mbili tati!

Halafu ukishashika wanakuletea chawa wakuharibie Kwa sofa Ili uharibu wakukule kichwa chako!

Kwamfano!

Mama aliambiwa aanze uandishi wa katiba mpya na ateue Bunge lianza mchakato by 2022!

Chawa wakamwambia kwanza unatakiwa ugombee muhula wa pili halfu CHONGOLO AKALOPOKA ETI KATIBA HAILETI UGALI MEZANI HALAFU NDIO KATIBU MKUU WA CHAMA!!

NA MAMA AKALOPOKA NA YEYE ETI "KATIBA NI KIJITABU TU"

SASA UNAJIULIZA BILA HIYO KATIBA ANGEAPISHWA KUWA Rais!!?

halafu wahuni wakaanza kuteka watu na kuwapoteza,halafu wanamkebehi mtia Nia kwa kauli mbiu "KAZI na utu tunasonga mbele"

Ukijuliza Sana haha mambo lazina urukwe na akili!!
Hawa Chawa ni sumu kuliko CHAWA wenyewe wa kwenye nguo!
 
Kuna watu tumepewa akili ya kung'amua Madhuri na mabaya, wengine huo uwezo hawana , inabidi kuwabooost kidogo ubongo wao Ili wawe sawa kiakili, tuzidi kuwaombea na kiwasanua wale wasio na huo uwezo, mana ndo wanao kwamisha no reforms no election , machawa tuwakatae , unfollow, wasanii tusiwaspoti huko YouTube na mitandai mingine Ili wapate njaa kidogo ya pesa mana ndo zinawapa kiburi.
Kweli wasanii wanaburuzwa tuu,we mtu anaacha shule huyo ana la Maana!
 
Wataganyika baadhi hasa hawa watu wa siasa ni ''wajinga'' sana ,huyo Rais hapo kawekwa tu wala kuna mambo hayajui kabisa ,even Magufuli kuna mambo yalikuwa yanafanywa na kikundi cha CCM yeye alibaki kama Rais.

Michezo michafu ya kishabiki inatokana na Vikundi vya siasa , maarufu kama '' Vyama vya siasa'' ..Dunia ya sasa hakuna Rais anayejiamini anaweza kuua watu ,kuteka watu kwa uwazi wa ulimwengu wa sasa,fika balaa lake litamkuta ila ukweli unabaki hausiki hata iweje labda useme serikali ni dhaifu kupitia waziri mwenye dhamana ...Hapa utaona ujinga instead ya kuanza na waziri mwenye dhamana basi wanakimbilia kumtuka Rais .

Rais ni mamlaka ya kiutendaji hata wewe unaweza kuwa na Mamlaka na ukapewa heshima , hauwezi kuwa mpumbavu kama Mdude unatukana tu hvyo : kama haujui hata wakurugenzi wa Mashirika ukiwa chini ya shirika hilo kama mfanyakazi au mhusika hauwezi kumtukana kiholela ,kwanza wanaheshimika sana kwa mamlaka walizopewa.

Mambo yote na michezo michafu ya kisiasa inafanywa na wenye chama sio Raisi ,kuna watu wana majukumu makubwa kweny Chama kuliko hata Rais ,yule Lowassa alijiona mkubwa ila akakutana na vingunge zaidi yake ..Wamemwambia tunamuweka Magufuli halafu tunajua atashinda vip ,basi vivyo hivyo wamemuweka huyo Mh.Samia wanajua watanlinda vip.
 
Duuh, umeeleweka mkuu! Mungu atunusuru atupe watu wenye Nia njema
 
Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!

Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.

Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!

Ukweli au jambo la uongo, lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Umeongea nusu ya ukweli...

Zanzibar ina jamii kuu mbili: Wa-Unguja(watu wa mapinduzi daima) na Wapemba(waliopinduliwa 1964)....

Watu wa Mapinduzi daima ni wakatili kama inavyoonyeshwa na tabia zao wakati wa mapinduzi(walivyoua na kufanya ukatili mwingi uliofichwa na historia) na jinsi wanakabiliana na siasa za upinzani(kumbuka mambo ya Komandoo, mauaji ya 2001 nk)....sasa rudi kwenye wasifu wa mama yenu kisha angalia ana asili ya kundi lipi kati ya hayo mawili....angalia na mwenendo wake...utapata jibu kuwa umeongea nusu ya ukweli!
 
Ni kweli. Huyu mama tunaweza kuwa tunamuonea kwa sababu amaezungukwa na mapapa hata yeye anayaogopa. Huyu alikuwa anafiti huko huko Zanzibar.

Wazanzibar hawana kona kona. Tazama walivyopambana mpaka wakapata bendera yao na mwisho wa siku wakabadilisha katiba na kuruhusu serikali ya umoja wa kitaifa ili tu kuleta amani.

Shida ni huku bara wasaidizi wake wanafiki, wabinafsi wanamshauri kwa kuangalia maslahi yao ilimradi tu waendelee kula keki ya taifa na familia zao.

Tujiulize, mbona CCM ya Zanzibar walikaa chini wakaweka mambo yao sawa na upinzani? Iweje CCM ya bara haitaki maridhiano na wapinzani wakati chama ni kile kile? Hapo ndipo utagundua utofauti wa Wazanzibar na Watanganyika katika misimamo!
Hawatokuja kukuelewa , Magufuli hilo kundi lilimshinda mpaka akaanza kuchukiwa na CCM wenzie ...Ni hatari hapo kufanya kazi na kundi la dhulma,mambo mengi hatoweza kuyajua .

Ukiwa cha chama cha siasa basi umefungwa hata uwezo wako wa kufirikia...
 
Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!

Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.

Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!

Ukweli au jambo la uongo, lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Samia ana maneno ya shombo sana, mara kifo ni kifo tu, mara hata msipotupigia kura tutashinda tu, mara anawaita wahubiri mashetani.

Huyu ndiye mtu mpole, asiye majivuno, asiye na makuu?

Huyu ni Bibi Chura muimba taarab za mipasho anajibizana na kila mbwa anayebweka anajadiliana mpaka na ma Gen Z wa Kenya wasio kaba.

Kama una spin habari, rudi shule ya ku spin habari naona hujafuzu bado.
 
Umeongea nusu ya ukweli...

Zanzibar ina jamii kuu mbili: Wa-Unguja(watu wa mapinduzi daima) na Wapemba(waliopinduliwa 1964)....

Watu wa Mapinduzi daima ni wakatili kama inavyoonyeshwa na tabia zao wakati wa mapinduzi(walivyoua na kufanya ukatili mwingi uliofichwa na historia) na jinsi wanakabiliana na siasa za upinzani(kumbuka mambo ya Komandoo, mauaji ya 2001 nk)....sasa rudi kwenye wasifu wa mama yenu kisha angalia ana asili ya kundi lipi kati ya hayo mawili....angalia na mwenendo wake...utapata jibu kuwa umeongea nusu ya ukweli!
Huo ndio ukweli niliouona Mimi kama nilivyoeleza,ongeza wako tukusikie mkuu!
 
Samia ana maneno ya shombo sana, mara kifo ni kifo tu, mara hata msipotupigia kura tutashinda tu, mara anawaita wahubiri mashetani.

Huyu ndiye mtu mpole, asiye majivuno, asiye na makuu?

Huyu ni Bibi Chura muimba taarab za mipasho anajibizana na kila mbwa anayebweka anajadiliana mpaka na ma Gen Z wa Kenya wasio kaba.

Kama una spin habari, rudi shule ya ku spin habari naona hujafuzu bado.
Siko shule Mimi,naongea yaliyo moyoni mwangu,Wala silazimishi mtu,soma vizuri maelezo yangu,usipanick Bure mkuu!
 
Tatizo hupo shule wakati unatakiwa kuwa shule.

Ndiyo maana hujui tofauti ya panic na panick.
Shida Yako unataka ujuaji,na kujiona Bora kuliko wenzako ndio walewale kina Lukas Mwashambwa!, Tofauti ni mtazamo tuu! Hongera MSOMI,hata makaburini kuna wasomi hawaongei!
 
Back
Top Bottom