Nilichogundua kuhusu mahusiano kwa sasa

BioPsychologist

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
724
1,014
Wakuu weekend iwaendee salama kwa wale wenye changamoto poleni sana.

Moja kwa moja kwenye point, vijana wengi "Ke na Me" wanao tafuta wenza wana kabiliwa na tatizo moja kubwa.

Tatizo ni kuwa kila anae tafuta kwa sasa alishawahi kuachana na mpenzi before! Sasa kibaya zaidi wanatumia historia ya mahusiano ya mwanzo kutengeneza mapya. Hii mbaya sana maana binadamu hatufanani kila mmoja na hulka yake!

Ili kufanikiwa ondoa fikra za kukusanya mabaya ya mpenzi wako wa zamani unaleta kwenye mahusiano mapya.

Post Traumatic Stress Disorder- hili ni tatizi la kisaikoloji linalo tokana na mtu kuishi kwenye kumbukumbu hasa za tukio/matukio mabaya na huwa na athari kifikra.

Make the past a lesson don't fix it into your current life.

Wasalaam ,!!
 
Jaribu kutafuta how to understand a women's volume 1, ukimaliza hiyo go for volume two if possible.
Brother amini nakwambia hawa jamii ya KE they even don't understand themselves. Trust me.
 
Katika mahusiano kila mmoja ana mtu wake,ila kumjua ndio mtihani.Ukiona umeachana na mtu jua huyo hakuwa wa kwako.....utakapozidi kutafuta ipo siku unaweza kukutana na wakwako.
 
Back
Top Bottom