Nilichogundua kuhusu huu ugonjwa wa Corona

Kila mtu anabanwa kifua kwa Sasa hao WHO wamemwaga dalili zoote hapo mtu hukosi hata moja
 
Haya ni mawazo ya chuki tu na ubaguzi dhidi ya watu wanene ni kama ilivyo kwa wachina wanaona tatizo ni watu weusi.
Ila kaa ukijua ugonjwa huu hauna ubaguzi,kuna watu wembamba wengi wamekufa.

Kaa ukijua China yenyewe kila mtu anafanya mazoezi na wembamba ni wengi karibu 90% ila kuna vifo maelfu vimetokea na wameficha data
Ni kweli mkuu, ila wagonjwa msisahu bilauli ya mchanganyiko wa limao na tangawizi ikiwa ya moto ukitumia kutwa mara tatu sio mbaya,
Ila pia nimepata kugundua kuwa watu wanene na wenye mavitambi makubwa ndio wanaokufa wengi, poleni sana ndugu zangu, msisahau pia kufanya mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wa jamvi ..

Kwanza napenda kumshukuru mungu sanaa kwa kuniponya gonjwa hili la corona ,in short mimi ni mhanga wa hili gonjwa la corona japo now nimepona na nipo japo afya bado haijakawa sawa 100% mia kama zamani lakini nahisi nimeushinda.

Ndugu zangu ngojeni niwaambie kitu .kwanza huu ugonjwa hauna dawa sasa wala kinga hivyo basi tahadhari ni muhimu sanaa kuchukua ,nikumbushie tu kuwa kufuata njia ya wataalamu ni bora zaidi katika kujikinga na kuchukua tahadhari na kujikinga mwenyewe pia niwatoe hofu kuwa msiwe na hofu huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine tatizo lake ni moja linakuwahisha kaburini mapema .

Sasa basii niende kwe lengo langu nachotaka kusema ndugu zangu ni kwamba mazingira yetu ya kiafrica hata uvae barakoa siku nzima na ujipake sanatizer mwili mzima masaa24 hakika huwezi ikimbia corona kwa movement zetu za kila siku zinatufanya to meet na watu wanaojali na wasiojali na bahatu mbaya sheria kipofu au hakuna kabisa kudhibiti jambo hilo .

Sasa basi ukitaka upambane na korono fuata masharti yote ya wataalamu wa afya kama kunawa mikono na kadharika ila usisahau KUFANYA CHECKUP YA MWILI WAKO KILA MARA KWA MAGONJWA MBALI MBALI ikiwezekana kama unawezo kwenye scanner na yaribu hayo magonjwa hata kama hujisikii kuumwa chocchote au hauna dalili wewe corona haitokusumbua corona ukiipata inatafuta pale kwenye weakness ndani ya mwili wako ndo inakaa hapo sasa ndo utakoma nayo yani kwa mfano : kama una matatizo ya moyo ndo hali hiyo inakuwa shida zaidi na lazima ikuondoe nini cha kufanya sasa?

Kwa wake wenye matatizo ya afya chukueni tahadhari mara mia ya wale wazima unless umekwisha.ndo maana corona inaua zaidi wazee kuliko vijana coz kinga yao ipo chini .

SOMO:tuimarishe kinga kwa mavyakula na madawa yanoelekezwa na wataalamu check up za mara kwa mara na kujitibu hakika utakufa siku zinefika sio kwa corona kizembezembe.

Nawatakia weekend njema.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe napambana wiki ya 4 sasa ila naelekea kuwa fiti ikikukuta siyo ngangari kwisha habari yako, chukua tahadhari kwakweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... hata uvae barakoa siku nzima na ujipake sanatizer mwili mzima masaa24 hakika huwezi ikimbia corona
... Sasa basi ukitaka upambane na korono fuata masharti yote ya wataalamu wa afya kama kunawa mikono na kadharika
Tufuate lipi sasa? Naona kama unajichanganya, maybe hujapona vizuri
 
kaka kula vyakula vyenye alkaline kubwa maana hapo lengo ni kuweka mazingira ya mwili sawa na mwili ili uweze kujikinga na mazingira ya makamasi kutengenezwa mwilini naimani itakusaidia kaka

Na mazoezi kwa sana na usiwe na msongo sana wa mawazo

pia jaribu kutafuta majani flani hivi wanaita iyombo inasaidia nimeijaribu kuitumia japo sina huo ugonjwa ila imeondoa mafua kabisa natamani uitumie na itasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyombo unachemsha au unatafuna bichi? Na kwa kiasi gani?
 
umetumia nini na nini mkuu maanahata mimi niko kwenye matibabu mkuu
Haya haya malimau na vitungu na tangawizi maji uvuguvuguvu na kula ushibe ugali na mboga za majani sana maji mengi na upumzike kwa mda mredu mzee jaukutikisi kama huna ugonjwa mwingine pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hiyo check-up ya mara kwa mara unaifanyia nyumbani!!?? Nchi zote ambazo huu ugonjwa umepiga kambi, ushauri wa kwanza ni "futa safari za hospitali kama hauumwi"
Mzee kama unajiamini kaa tulia ila kama unajiona unashida hata ya marelia kimbia fasta kaitibu corona ikikukuta na matelia kali hutoboi mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom