chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,691
- 45,960
Kama haujui ni kwamba in budget functionality and accountability ni Nyamagana IPO responsible wala sio ilemela ndiomana kwenye kila kikao cha madiwani wa Mwanza jiji wanawaita madiwani wa nyamagana ni madiwani wa jiji na wa ilemela ni madiwani wa ilemela.Mkuu labda na wewe hujaelewa, swali jiji la arusha linaindwa na manispaa ngapi? Na je unajua jiji la mwanza linaundwa na manispaa ngapi?.
kama arumeru ni sehemu ya jiji la arusha hapo uko sawa. Lakini kama siyo hivyo utakuwa haupo sahihi kubisha kwa maana jiji la mwanza limeundwa na manispaa mbili. Ingekuwa mkoa mzima si ungeona sengerema, ngudu, missungwi nukerewe na magu zikitajwa.
Simaanishi kuwa mwanza inaweza izidi arusha as cities...but gape litakuwa dogo sana na huenda hata lisiwepo halmashaur ya jiji ina undwa na wilaya ya nyamagana completely hata hata hvyo kuna vitu wanashare na manispaa ya ilemela....hvyo budget ya jiji unatakiwa ujumlishe bill 87 + bill 54 kama skosei ambapo utakuta total ni bill 141....kwa mji mzima, sjajua kama hyo inaweza kuwa relevant indicator ya ukusanyaji mapato na kama ikiwa applicable bas Mwanza city inakusanya more money kuliko jiji la arusha but kimkoa arusha inakusanya zaid kuliko mwanzaOkay Fanya ulinganifu wa superiority ya Arusha na Mwanza from their recent cities budget in comparison.
Mwanza
Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la MWANZA limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz
Arusha
bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya jiji la Arusha hatimaye jambo hilo limewekwa hadharani ambapo kiasi cha shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS
Sasa nikupa range ya cash budget deposits in hand ya hizo halmashauri mbili unaweza kuhama Mwanza .
Maliza kutafuna kiroba ukalale wewe, giza limeshaingia huko polini,unalazimisha hicho ki manispaa kuwa jiji? We wa wapi?.I'm done with you... Unaomba laki 2 mitandaoni????
Mkuu leta tuu...!!! Hakuna mtu atakayeingia mitiniKuna mahali nimeona Property Tax ya Jiji la Arusha inaizidi ya Jiji la Mwanza... Nikileta hapa wataingia mitini
Mkuu hzi data ni kimkoa hebu tuingie chimbo zaidLast time I checked Arusha ina viwanda vingi kuliko Mwanza...
Arusha mwaka 2014/15 zimefunguliwa biashara mpya 7500 wakati Mwanza 3200... Hizi ni official si blah blah..
Rudi kwenye ID yako ya siku zote usifiche ujinga huku...
Tuwekee Link ya hichi unachosema tafadhali... hahahahahaha wewe unachukua porojo huko unaleta hapa..Kuna mtu kasema hakuna kitu ambacho mwanza inaizidi arusha zaidi ya population
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Mkuu hzi data ni kimkoa hebu tuingie chimbo zaid
Hujaona nimekuwekea hapo?? Naona umezisoma alafu umepita kimya kimya...Mkuu leta tuu...!!! Hakuna mtu atakayeingia mitini
Mbona sasa umeishia kuzitazama tu au haujui zinavyotumika???Kuna mtu kasema hakuna kitu ambacho mwanza inaizidi arusha zaidi ya population
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Hamna kitu kama hicho halmashauri ya jiji ni nyamagana na ilemela inayo halmashauri yake na wanakusanya mapato yao independently.Simaanishi kuwa mwanza inaweza izidi arusha as cities...but gape litakuwa dogo sana na huenda hata lisiwepo halmashaur ya jiji ina undwa na wilaya ya nyamagana completely hata hata hvyo kuna vitu wanashare na manispaa ya ilemela....hvyo budget ya jiji unatakiwa ujumlishe bill 87 + bill 54 kama skosei ambapo utakuta total ni bill 141....kwa mji mzima, sjajua kama hyo inaweza kuwa relevant indicator ya ukusanyaji mapato na kama ikiwa applicable bas Mwanza city inakusanya more money kuliko jiji la arusha but kimkoa arusha inakusanya zaid kuliko mwanza
Mkuu kama ni hivyo bas jiji la Mwanza lina wakazi 370000 kama sikosei...na kwa mantik hyo arusha ambayo Ina wakazi around 400000 inakuwa the second largest city in Tanzania.....cjui umenielewa? Kama sivyo kuna kitu hakiko sawaHamna kitu kama hicho halmashauri ya jiji ni nyamagana na ilemela inayo halmashauri yake na wanakusanya mapato yao independently.
Manispaa yawageuzia kibao wafanyabiashara
Ndugu yangu vina raha yake. Mimi hutembelea maeneo yale kila nipatapo nafasi ili niweze kushuhudia uumbaji wa aliye juu.Umekimbilia kwenye vimini hahahaha.
bwana Fisadi umekunywa Dadii..?! Nimekuja kugundua wanapotaja Mwanza City wanaongelea Nyamagana, kumbe kuna Ilemela Municipal...Hujaona nimekuwekea hapo?? Naona umezisoma alafu umepita kimya kimya...
Haya Property Tax and Land Rent ya hayo majiji inaonyesha Arusha ikiwaghalagaza mara mbili zaidi ya mnachokusanya.. Hapo chini hizo ni za mwaka wa fedha 2012/13.. Nitatafuta za latest nadhani hizo ndizo gap litakuwa 3 times... Hizi ni za majiji si mkoa.. Sasa sijui na hapa mtasingizia kitu gani..
View attachment 407443 View attachment 407444
Imooooooo. Kitu kama Jumamosi, kwa Arusha machalii wanafurahia fursa ya kupiga ngeta.Fiesta wanakuja lini chugaaa?
Nitamsaka FisadiKuu nikipata nafasi nafikiri atakuwa amepiga mnyonyo na buti oversize siku hiyo, nikiwa na gap...Imooooooo. Kitu kama Jumamosi, kwa Arusha machalii wanafurahia fursa ya kupiga ngeta.
Ha hahaha hahahahah...Huyo hakosi hilo tukio lazima atatinga na mnyonyo
Unaleta mboyoyo mingii halafu mfukoni hauna chapaa.Maliza kutafuna kiroba ukalale wewe, giza limeshaingia huko polini,unalazimisha hicho ki manispaa kuwa jiji? We wa wapi?.
Yani mezidiwa hata na kahama ndiomana shangwe limepita kule sababu kuna hela😀