juve pauly
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 506
- 433
Pachafu Lakini haijafikia ule uchafu wa Dar Aisee.Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina
Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Ataulizia aina gani ,mwewe au kunguru.....!Umewahi kupanda ndege?
Hilo ndilo swali la muhim akiweza kujibu hilo swali! TutampongezaUmewahi kupanda ndege?
sorry mkuu if i gonna touch your feeling, hivi kijijini na mjini wapi hela inatumika sana?Huna hela halafu unautaka uzuri wa ARUSHA? Baki Dar kama huna hela,huku "Hasara roho pesa makaratasi" Ishia hapohapo stand
Huyu naye mwangalieni.Wasukuma mnapenda ligi na ma chali R,watawapoteza oooh
acha kufananisha mjini na kijijni mkuuHaha baelezee wamezoea uko dar kwenye jam na mitakataka ya kila aina
Labda ww ndo hujui tofauti ya mjin na kijjjnacha kufananisha mjini na kijijni mkuu
Utaujuaje mji na huna hela ya kuzungukia mji? sijaelezea matumizi,nimesema kama huna hela hutaujua mji,ARUSHA sio kijijini kama unavyodhani,kuwa utazunguka toka kitongoji A mpaka B kwa mguu na uje hapa useme hapafai sio pazuri,yeye kaishia stand na anasema haoni chochote cha kufananisha(sijui na Mpwapwa)sorry mkuu if i gonna touch your feeling, hivi kijijini na mjini wapi hela inatumika sana?
Sasa Hilo jiji lisilokuwa na airport la nini? Au walitumia kigezo gani kulianzishaNi kweli make safari zinaanzia KIA
Mibuyu ipoMkuu jaribu kutia maguu na shivers pale kuna vivutio vingi sana.
Ukiacha jiji la Dar. TZ Ni mwanza na arusha ndoo ukifika hukosi sehemu za kuinjoiHata ukitoa mapovu huwezi linganisha Arusha na miji mingi tz ukitoa Dar na Mwanza. Hata hayo majiji bado yana mambo mengi yanayozidiwa na Arusha.
Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza soda zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuhaHuna hela halafu unautaka uzuri wa ARUSHA? Baki Dar kama huna hela,huku "Hasara roho pesa makaratasi" Ishia hapohapo stand
Sijawahi...........!!!!Umewahi kupanda ndege?
Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia iliHaha baelezee wamezoea uko dar kwenye jam na mitakataka ya kila aina
Makonda keshawaambia wageni ndyo wanaolichafua jiji, kila mtu anavutia kwakePachafu Lakini haijafikia ule uchafu wa Dar Aisee.
Hatakujibu kamwe mpaka siku tunamuaga rasmi dunianisorry mkuu if i gonna touch your feeling, hivi kijijini na mjini wapi hela inatumika sana?
Poa poa nipo hapa bar ya stendi nashangaa rafuzi mare charii, mamaa, jombaaNisubiri hapo hapo stand !!