Nilichogundua kuhusu Arusha

Najifunza kitu Mwanza is Far most beautiful compared na Arusha ingawa watu huwa ni wakali humu.

Beaches, kuwa na international airport na ukaribu wa mbuga ya.Serengeti haihtaji mtu kupiga zumari kumbe.
Jiji watu washamba pachafu wanapika vitumbua mpaka round about mchana Wa SAA sita wanaongea kulugha njia za waenda kwa miguu sidewalk wamejaa wamachinga

Vyoo vya Mwanza ni majanvi na masalfeti tu yamezungushwa kwa kweli sijaona upekee wowote Wa Mwanza zaidi ya ushamba mwingi watu wanavaa manguo yaliyochanika 85% na malapa yaliyotoboka Arusha huwezi kukuta watu wachafuwachafu wasiojipenda.
 
Kusanyeni kodi kwanza angalau mumfikie Kilimanjaro ndio muanze pambana na Arusha
Mkoa wenyewe ni moja ya mikoa yenye umasikini uliokithiri report inasema.

Rock city mall hamna watu kabisa vyumba kibao havina watu ni tropical, lapf, stanbic na tsn ndio at least wamepanga pale ingekua lipo Arusha lingeshajaa hata kabla halijajengwa.
 
Hv watu wachafu so ndo nyie...ukienda mitaa ya pangan kuelekea stendi watu wanauza kahawa, wamechoka na wananuka kimbuzi mbuzi, meno yamewaoza utadhan vampire, kiswahili kibovu, wanawake wamekakamaa utadhan wamekaushwa kwa moto....
 
ile ilitua kwa dharura, ndo maana wale abiria walipelekwa kia wakapewa ndege nyingne. ndege ilipaa ikiwa tupu. uwanja uliopo ni mdogo., uzuri wake Arusha na Kia co mbali!??

Ni uwanja wa ndege km Ethiopia airline ilitua na kupaaa salama Ni uwanja mengine Ni madoido
 
Unaumwa wewe kwa nin wasianzie kujenga Chuga kule ambako mnadai kuna matajiri wengi ambao hawalipi kodi...mpak mahotel mmeanza Kupiga bei....mnafake life mnafkr mchezo...na yatajaa popo...pimbi nyie
 
Unaumwa wewe kwa nin wasianzie kujenga Chuga kule ambako mnadai kuna matajiri wengi ambao hawalipi kodi...mpak mahotel mmeanza Kupiga bei....mnafake life mnafkr mchezo...na yatajaa popo...pimbi nyie
Arusha kuna Satellite Cities mbili.. Huo mradi Mwanza hauwezi kuletwa miaka 100.
 
Usishangae sana.. Mwanza watu ni mara mbili karibia mara 3 ya Arusha lakini kodi Arusha inakusanywa mara 3 ya Mwanza... Utaona hapa pesa iko wapi
 
Unaumwa wewe kwa nin wasianzie kujenga Chuga kule ambako mnadai kuna matajiri wengi ambao hawalipi kodi...mpak mahotel mmeanza Kupiga bei....mnafake life mnafkr mchezo...na yatajaa popo...pimbi nyie
Arusha population ndogo karibia theluthi ya Mwanza ila inalipa kodi mara 3 ya Mwanza... Sasa hapo ukwepaji wa kodi uko wapi labda??

Sipatii picha kama lile tetemeko la Bukoba lingetokea kule milimani Mwanza.. Robo 3 ya watu wa Mwanza wangefukiwa na majabali na mawe wote
 
Arusha kuna Satellite Cities mbili.. Huo mradi Mwanza hauwezi kuletwa miaka 100.
Hzo satellite ni figisu tuu ukabila umejaa....but ngoja tuone mafanikio yake itakuwaje....mwanza hakuna satellite city recently kuna sattelite town inajengwa
 
Arusha nguvu ya serikali tuuu....ona Hela za chai zimendolewa mmeanza kuuza mahoteli.....na ngoja mikutano ihamie Dodoma uone.....na kwa taarifa yako hyo satellite ya usariver ime be redirected kujengwa Dodoma.....hata inayojengwa applicability yake sjui itakuwaje....na tetesi zilizopo mchoro/render imepunguzwa....
 
Nyingine hii hapa inajengwa mwanza ujenzi wake unaanza January 2017...hii ni funga kazi....we unaona kama hakuna high and middle class people to afford such huge project...lakni wenzako wanaona kuna opportunity....hyo rockcity mall rud tena uangalie hutaamin majicho.....watu wa chuga punguzeni unaaaa

Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani
ofcourse hasara itakuhusu ukipeleka wabana pua kule....... wana lyfstyle yao wanapenda hiphop n rap thats reality n dont force people kuishi kama ww....... i love their lyfstyle kwanzia swag lafudhi navingine vingi
 
Hata kama wakileta international rappers kama T.I, Eminem, kanye west n.k huwez peleka Chuga...burdan hakuna kabisa Kule.....wasanii wa chuga ni promo tuu, hakuna lolote..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…