Nilichogundua baada ya msiba wa Regia

Huwezi kuandika bila kutumia hayo maneno machafu? Au umeishiwa cha kuonge unajazia jazia?
Ninachoamini mimi 70% ya wana JF ni wakazi wa DSM! Chakushangaza jana waliokuwepo ni wana familia tu na memberz pungufu ya 10, pamoja na promo yote iliyofanywa!

Apumzike kwa amani dada yetu Regia..maisha yanaenelea kama kawaidia!

inawezekana mahudhurio yalikuwa haba, lakini haiondoi ukweli kuwa Regia kama mwanasiasa tulimkubali. Pia kwa upande wangu naamini kabisa kuwa jana haikuwa siku sahihi kufanya walichopanga
 
Mkuu inawezekana walikuwa hata mara kumi ya hiyo idadi uliyotaja lakini hawakujitambulisha
Hebu tupe matokeo ya mkutano wa jana! Nasikia JF memberz walikuwa hawafiki 10. Kweli nimeamini Regia alikuwa anapendwa ndani na nje ya JF
 
Back
Top Bottom