Nilicheza karate mpaka alinitokea babu wa kichina akawa ananinoa usingizini

Ninasema karate haina faida kwakua nimeshuhudia. Kwetu ilikua ni mwendo wa dawa au karate
mtu anaweka dawa mwilini mzuka ukipanda anapiga mtaa mzima..dojo nzima anachakaza vibaya. Rafiki angu mmoja anatumia dawa ya nguvu aliwa chapa watu mpirani na karate zao akiwa pekee yake.
Sasa faida yake nini.? Kwann nipoteze muda kucheza karate wakati naweza kuweka dawa mwili for 1hr nikaweza kupiga dojo zima hadi na sensei wao.?
Huo nao ni Ujuzi mwingine kama unao nayo ni faida kwako, kikubwa ni kwamba Dunia ina Elimu nyingi na kubwa na za maaajabu mno
 
Ninasema karate haina faida kwakua nimeshuhudia. Kwetu ilikua ni mwendo wa dawa au karate
mtu anaweka dawa mwilini mzuka ukipanda anapiga mtaa mzima..dojo nzima anachakaza vibaya. Rafiki angu mmoja anatumia dawa ya nguvu aliwa chapa watu mpirani na karate zao akiwa pekee yake.
Sasa faida yake nini.? Kwann nipoteze muda kucheza karate wakati naweza kuweka dawa mwili for 1hr nikaweza kupiga dojo zima hadi na sensei wao.?
Mkuu dawa gani hiyo..?
 
Kwa wasiojua ni kwamba karate ni imani(dini) kamili, ina madhabahu zake kama zilivyo dini zingine.
Nilianza karate nikiwa darasa la pili kijijini kwetu huko Lindi. Nilikuwa mkubwa kidogo maana nilichelewa kuanza shule. Kipindi naanza karate nilikuwa na miaka 14, darasa la kwanza nilianza nikiwa na 13 yrs kutokana na mazingira ya shule kuwa mbali.

Binafsi sikuupenda huu mchezo ila niliposikia jirani yangu ambaye tulikuwa tukitandikana sana anacheza nami nikasema nakwenda kucheza . Mchezo tuliucheza free, uwanjani nyumbani kwetu. Yule braza alikuwa anatufundisha weekend anaporudi kijijini akitokea mjini alikokuwa anasoma sekondari.
Sijajua kwanini tulisimama ila ninachojua hatukucheza muda mwingi sana.

Miaka 3 mbele akaja jamaa mmoja sijui ni mpelelezi au jambazi Mimi sijui. Ila kwa ujuzi aliokuwa nao yule mtu kuhusu judo hakustahili kuja kuishi kule kijijini.
Jamaa moto sana, kijiji kizima kikawa kinanuka karate. Huyu jamaa alifikia kijiji jirani ambacho nilikuwa nasoma primary kabla kijiji chetu hakina primary ila kipindi hicho jamaa anafanya maajabu nilikuwa nishahama ile shule na kuhamia primary ya kijijini kwetu. Kuna vijana kama 4 kutoka pale kijijini kwetu walikwenda kuchota ujuzi kwa malipo ya elfu 8 tu.

Walipoiva na kupewa mikanda yao ya walimu wasaidizi wakaja kufungua center pale kijijini kwetu.
Niliingia pia kwa kuwa mhasimu wangu alijiunga. Nikacheza kwa miezi sita nikawa nondo. Mchezo haukuendelea kwakuwa tulishindwa kulipa ada ya elfu 5 kwa mwezi.
Nikamaliza la saba nikapangiwa shule moja ya vipaji vya kati ambayo ilichukuwa wanafunzi kutoka Tanzania nzima.

Nikiwa form 3 nikafungua center ya karate shamba la shule ila sikubahatika kulipwa hata mia, maana wanafunzi karibu wote niliokuwa nawateach walikuwa marafiki zangu na hawana pesa. Nikawanoa kidogo judo likafa kwa sababu za kimazingira.

Nikiwa form four alikuja mwalimu mmoja Mmarekani anaitwa Bryan. Jamaa Taikondo utadhani kaianzisha yeye. Akatufundisha pale shule karibu nusu ya wanafunzi tulijiunga na karate.

Ila mimi aliponiona niko mbali akawa ananifundishia uwani kwake peke yangu. Maana wale wengine ndio kwanza walikuwa wanafundishwa mapigo, kata na mazoezi ya viungo.
Bahati mbaya teacher akarudi US.ghafla kumuuguza mchumba wake aliyekuwa anaumwa cancer.
Hapo ndipo nilipokuwa natokewa na kibabu usingizini akiniteach Judo kwa lugha nisiyoijua, nahisi yule babu ni Mchina, Mkorea au Mjapani.
Hapo nikajua style nyingi.

Baadaye nikaichukia karate maana nilikuwa sioni faida yake zaidi ya kukuharibu akili. Unatamani uvamiwe na vibaka ili uwatwange, muda mwingine unajisahau unakunja ngumi au kuongea mwenyewe. Nikaizika karate rasmi na kuokoka.
Nilijikumbushia karate nikiwa Ruvu JKT , niliwateach ma Private leaders wawili wa platoon yetu ili nipate favor fulani. Siku ninawaaga waliumia sana, maana nilikwenda kwa mujibu wa sheria 2013.
Si ndio nyinyi baadhi yenu wakatoroshwa kwenda somalia na ndio hao wakarudi kusumbua kibiti!!???

Anyway, huu mchezo unatakiwa uucheze ukiwa vzr kiuchumi lakn ukiwa hovyo kiuchumi unaweza kujiunga na makundi ya kiharifu.

Nilipenda sana kujifunza baadae nilipofika form two baba alinipga mkwara nikaacha na wenzangu wote tuliojifunza nao walishauwawa kwa ujambaz mpaka master wetu alipgwa chuma
 
Ninasema karate haina faida kwakua nimeshuhudia. Kwetu ilikua ni mwendo wa dawa au karate
mtu anaweka dawa mwilini mzuka ukipanda anapiga mtaa mzima..dojo nzima anachakaza vibaya. Rafiki angu mmoja anatumia dawa ya nguvu aliwa chapa watu mpirani na karate zao akiwa pekee yake.
Sasa faida yake nini.? Kwann nipoteze muda kucheza karate wakati naweza kuweka dawa mwili for 1hr nikaweza kupiga dojo zima hadi na sensei wao.?
Dawa gani? Sijakuelewa.
 
Kwa wasiojua ni kwamba karate ni imani(dini) kamili, ina madhabahu zake kama zilivyo dini zingine.
Nilianza karate nikiwa darasa la pili kijijini kwetu huko Lindi. Nilikuwa mkubwa kidogo maana nilichelewa kuanza shule. Kipindi naanza karate nilikuwa na miaka 14, darasa la kwanza nilianza nikiwa na 13 yrs kutokana na mazingira ya shule kuwa mbali.

Binafsi sikuupenda huu mchezo ila niliposikia jirani yangu ambaye tulikuwa tukitandikana sana anacheza nami nikasema nakwenda kucheza . Mchezo tuliucheza free, uwanjani nyumbani kwetu. Yule braza alikuwa anatufundisha weekend anaporudi kijijini akitokea mjini alikokuwa anasoma sekondari.
Sijajua kwanini tulisimama ila ninachojua hatukucheza muda mwingi sana.

Miaka 3 mbele akaja jamaa mmoja sijui ni mpelelezi au jambazi Mimi sijui. Ila kwa ujuzi aliokuwa nao yule mtu kuhusu judo hakustahili kuja kuishi kule kijijini.
Jamaa moto sana, kijiji kizima kikawa kinanuka karate. Huyu jamaa alifikia kijiji jirani ambacho nilikuwa nasoma primary kabla kijiji chetu hakina primary ila kipindi hicho jamaa anafanya maajabu nilikuwa nishahama ile shule na kuhamia primary ya kijijini kwetu. Kuna vijana kama 4 kutoka pale kijijini kwetu walikwenda kuchota ujuzi kwa malipo ya elfu 8 tu.

Walipoiva na kupewa mikanda yao ya walimu wasaidizi wakaja kufungua center pale kijijini kwetu.
Niliingia pia kwa kuwa mhasimu wangu alijiunga. Nikacheza kwa miezi sita nikawa nondo. Mchezo haukuendelea kwakuwa tulishindwa kulipa ada ya elfu 5 kwa mwezi.
Nikamaliza la saba nikapangiwa shule moja ya vipaji vya kati ambayo ilichukuwa wanafunzi kutoka Tanzania nzima.

Nikiwa form 3 nikafungua center ya karate shamba la shule ila sikubahatika kulipwa hata mia, maana wanafunzi karibu wote niliokuwa nawateach walikuwa marafiki zangu na hawana pesa. Nikawanoa kidogo judo likafa kwa sababu za kimazingira.

Nikiwa form four alikuja mwalimu mmoja Mmarekani anaitwa Bryan. Jamaa Taikondo utadhani kaianzisha yeye. Akatufundisha pale shule karibu nusu ya wanafunzi tulijiunga na karate.

Ila mimi aliponiona niko mbali akawa ananifundishia uwani kwake peke yangu. Maana wale wengine ndio kwanza walikuwa wanafundishwa mapigo, kata na mazoezi ya viungo.
Bahati mbaya teacher akarudi US.ghafla kumuuguza mchumba wake aliyekuwa anaumwa cancer.
Hapo ndipo nilipokuwa natokewa na kibabu usingizini akiniteach Judo kwa lugha nisiyoijua, nahisi yule babu ni Mchina, Mkorea au Mjapani.
Hapo nikajua style nyingi.

Baadaye nikaichukia karate maana nilikuwa sioni faida yake zaidi ya kukuharibu akili. Unatamani uvamiwe na vibaka ili uwatwange, muda mwingine unajisahau unakunja ngumi au kuongea mwenyewe. Nikaizika karate rasmi na kuokoka.
Nilijikumbushia karate nikiwa Ruvu JKT , niliwateach ma Private leaders wawili wa platoon yetu ili nipate favor fulani. Siku ninawaaga waliumia sana, maana nilikwenda kwa mujibu wa sheria 2013.
Mkuu, mimi nilianza dojo fulani hivi lipo mbezi, la taasisi fulani hivi, nikiwa 15 nadhani wakati ule.
Nilipomaliza elimu ya advance nilijiunga volunteering kikosi fulani, kule nikakutana na manunda, makonki zaidi tukawa tunaendeleza game. Mle tulikuwa tunapiga inaitwa "Combat karate" ambayo ni mchanganyiko, chotara wa aina mbalimbali za mapigano.

Nilikuja kusafiri kimafunzo nchi fulani, ingawa mafunzo yalikuwa ni ya mambo mengine lakini self defence ilikuwa katika syllabus, na pale ndipo nilipojizolea umaarufu chuo kizima mpaka kufikia kula tunda kimasihara kwa ngozi nyeupe,

Tukutane mkuu tutest show
 
Morphextender
 
U

Uko wapi mkuu...nikija nikutafte kwa ajili ya kumite
 
We jamaa muongo wewe karate ni mchezo kama boxer hauna imani Wala meditation labda ungesema wushu sawa ina imani ya Buddha's
 
Back
Top Bottom