Km Sigara ukianza kuacha ni mtiti sana😂😂😂tuko pamoja mpaka kufa
Kua makini huyo mwamba anajisifu ni mtaalamu wa kupiga nyeto avatar zote za warembo wa JF kashazimwagia uji uji kwenye screenHamna kitakachofanya uache zaidi ya wewe mwenyewe kuamua kuacha just say no jizuie
groups.google.com
😂😂Suluhisho linakuja.
App inayotoa mikeka kwa kutegemea AI, wanahitajika Watu 15 tu wa kuitest(Hakuna Malipo)
Kama uko Tayari fwata hatua hizi
1.Join Google Group au tuma Email yako DM
Testers Community Hub - Google Groups
groups.google.com
2. Fungua Link na itakuelekeza Playstore, Download App tumia
Ukikwama weka email yako hapa tutaiongeza
![]()
Uliwahi kuwa tajiri!?Nimetumia rasimali yangu kwenye kamari mpaka imenifilisi, najaribu kuacha nashindwa sijui nifanyaje?