Niliapa kutosimulia

Hii story yako kama ya kutunga na inawezekana umekopy kwa mahali hapa umeedit majina na lokashioni na bus ulilotumia na hiyo guest. Hivi kwa akili ya kawaida mwanamke aje tu umgegede tena mke wa mtu bila kumtongoza au kukaa naye mahali mkaongea mambo hata ya maisha? Basi huyo mwanamke hata jina la changudoa halimtoshi labda, gudegude.
Au ulikuwa unaota ndoto hivyo umeamua utuandikie?


 

nyie ndo mliambiwa Twiga wamepandishwa ndege KIA mkaanza kupiga makelele kuwa "wametunga".....jiadhari mkuu utapeli huo upo
 
Kwahiyo unataka kunidanganya kuwa ilikutokea wakati stori yeyewe inaonekana ni kutunga, tatizo lako unaona kama watu wote unalingana nao uwezo wa kuelewa.

nyie ndo mliambiwa Twiga wamepandishwa ndege KIA mkaanza kupiga makelele kuwa "wametunga".....jiadhari mkuu utapeli huo upo
 
Kwahiyo unataka kunidanganya kuwa ilikutokea wakati stori yeyewe inaonekana ni kutunga, tatizo lako unaona kama watu wote unalingana nao uwezo wa kuelewa.

sorry mkuu muhusika ni BIA BORAmimi nimechangia, so haijanitokea....ila nimesoma post za watu kama wawili katika hii thread wakisema pia wamewahi kutapeliwa kwa style hii....kama wewe unaelewa vingine ni juu yako pia.....
 
Last edited by a moderator:

bwana[MENTION]kapalamsenga[/MENTION]kisa hiki kilinitokea, na nimeamua kukisimulia ili ku create awareness to this kind of scum, but haulazimishwi kukubali sababu it wont add any value or cure the damage.
 
Hahhahahha noma kweli hiyo ilipangwa wamekutapeli pole sana
 
pole sana mkuu...huo ni utapeli na hata aliekushauli kuhusu siti alikuwa anajua anachokifanya,sema fundisho hapo tuache tamaa hasa za kimapenzi...
 
Pliz naomba mwenye uwezo anisamaraiziee storry ndefu sanaa
 
Kama kweli Pole kwa yaliyo kukuta kijana nadhani ulijifunza kitu, ingawa hukutaka hata kutaja mwaka.

bwanakapalamsengakisa hiki kilinitokea, na nimeamua kukisimulia ili ku create awareness to this kind of scum, but haulazimishwi kukubali sababu it wont add any value or cure the damage.
 
Dah pole sana , nimeisoma hadithi nikaitafali , kwa upeo wangu hilo ni dili tena huyo rafiki yako ndio aliopanga nao , hapo kwenye siti ndipo nahisi rafiki alishiriki na jamaa , na huyo mzee naye pia alishiriki kwenye mchezo . Rafiki yako alikiwa anajuwa weakness zako hivyo wakapanga kumtafuta prisca walijua huto ruka kwake. Pole sana mchunguze vizuri rafiki yako utagundua tu ana connection nao kimtindo
 
Ni mpango mzima uliopangwa na Julius, Kalinga na Prisca. Nahisi kuwa Julius aliyekushauri kuhusu seat, na akamweleza Kalinga, na Kalinga akamshauri Prisca akate seat jirani yako. Hayo ni maoni tu!!! Kalagabaho!
 
kuna watu wanavamia kuamzisha thread za kutunga hazina kichwa
 
Kama ni kweli pole sana ulikutana na kundi la matapeli pale hapakua na wanandoa ulidanganywa mkuu. Hizo 10 m waligawana hao watu 3. Hata huyo rafiki yako huenda hakwenda huko south alijificha tu.Ama kweli utapeli kila siku una mbinu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…