Niliapa kutosimulia

dah nashukuru kwa angalizo
Haya mambo yapo sana tu.
aisee kweli usimwamini kila mtu
 

daaaaaaaaaaaaaah.!
 
nazani hata huyo rafiki yako aliyekushauli uchukue siti E2 yumo kwenye chain ya watu waliokutapeli, walikuchezea mchezo.
 
Very interesting plot for fiction, it has potential if developed right.
 

Yaani ww ndo huelewi kabisa
kwa taarifa yako huyo julius ndo anaelewa kila kitu na ndo alipanga huo mchango na hao wana mtandao mkubwa tu.
Hebu shughulisha ubongo wako
kukuuliza c anazuga tu ionekane hajui chochote
 
Yaani ww ndo huelewi kabisa
kwa taarifa yako huyo julius ndo anaelewa kila kitu na ndo alipanga huo mchango na hao wana mtandao mkubwa tu.
Hebu shughulisha ubongo wako
kukuuliza c anazuga tu ionekane hajui chochote
dada christine ibrahim kutokumuuliza haimaanishi kuwa sijamchunguza baada ya hilo tukio...nilifanya uchunguzi wa kutosha kwa julius nikajiridhisha kuwa hakuhusika...npaka leo julius hajui ni biashara gani nilikua naenda kufanya iringa..anachojua ni biashara tu..NAHISI Michael ndo alipanga hii ishue yote anyway.... yameshapita
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu, huku kagera hasahasa karagwe ni kesi za kawaida, mwanamke anakutega then unakamatwa ugoni afu
mnakaa mezani na mume wake, mara nyingi wanataka malipo gari au hela kuanzia 5m na jamaa wanalenga wenye uwezo, ukibisha wanakukata panga na ukilipa mambo yameisha na jamaa anasepa na mke wake.
 
Dah nakuonea mkuu, huo utapeli ulipangwa kiufundi sana. Na kwasababu watanzania wengi hawana intelligent skills n technics wengi wataibiwa. Kiufupi hautawapata labda utumie interpool. Naomba muwe aware watanzania wenzangu na mipango ya kuanzisha business partnership na watu msiowafahamu, vinginevyo mwanasheria awepo with valid documents.
 
huyo hakuwa mke wa Kalinga wala nini ila ni mchongo ulioanzia Dar wakati unakata tiketi wenzio walikuwa wanakumonitor na huyo dada ni wa Bbong UMELIWA!!!!!!
 
huyo hakuwa mke wa Kalinga wala nini ila ni mchongo ulioanzia Dar wakati unakata tiketi wenzio walikuwa wanakumonitor na huyo dada ni wa Bbong UMELIWA!!!!!!

Kuna coincidence isiyo na mantiki..
Kwamba jamaa anataka kununua vocha na demu anakuwa na kiasi cha elfu kumk ya kumhamishia hapohapo.....
 
iliwah kunitokea inshu kama yako. jamaa alicheza mtindo huo huo. ila biashara yetu ilikuwa ya ml. 20 akanitolea pisto hivyo hivyo. nikajiondokea zangu. coz cc wakibosho hatuach hela nyuma nilijipanga wki moja. tulimteka yule jamaa tukamvua nguo zote halafu tukamwachia. tukampa wik. halafu huo mkwara tuliompiga huo jamaa hatosahau maishan. coz tulijaribisha chupa ya bia kwenye kabaang yake tukampiga picha. tukamwachia. yeye mwenyewe alileta hela ndugu yangu kesho yake.
 
ni kweli mkuu miaka miwili iliyopita....atleast nimeshapoa ndo maana nikaamua kuiachia kwa mara ya kwanza hapa jamvini

Nilifikwa na mkasa kama huo wakati nasafiri kuelekea Mwanza miaka kadhaa iliyopita, sikungundua kama ni utapeli mpaka hapa niliposoma mkasa wako leo.. poor them nilikuwa ndio nimetoka kufukuzwa kazi kipindi hicho sikuwa na hata mia so target yaoilikwenda mchomo, lakini mbunye tu niliigegeda !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…