Niliapa kutosimulia

Samahani mwenye andiko hili. Nimeyakuza maandishi ili nisome kwa urahisi. Kwa wengine "mnaoposti threads" zenu tafadhali jitahidini kukuza maandishi ili kutusaidia sisi tunaopata shida kusoma maandishi madogo.


nimeifanyia kazi mkuu,
 
Kama ni story ya kweli Jamaa waliku-DO🙂 Hiyo ni kitu inaonekana kupangwa vizuri na matapeli waliotumia FURSA ya tamaa zetu wanaumme. Nina hisia kubwa tuu kwamba hata PRISCA si mke wa ndoa wa huyo "MMEWE" Mr. Bastola🙂
 
 
BIA BORA Umenyuka papuchi kwa 10 M, pole sana. Umeliwa hapo. Mjini shule. Jinsi ulivyochagua hiyo siti nambari E2 ni hatari.
 
Last edited by a moderator:
hapo umetapeliwa yaani umeliwa mkuu.................pole sana rafiki si kila mwanamke wakuamini ,,... umejifunza sana........... leo naona utakuwa huru sana.... ila nimefurahi unavyojua kutoa sifa za mwanamke..
hajaliwa huyo, kwani naye si kagegeda peku..???
 
BIA BORA Umenyuka papuchi kwa 10 M, pole sana. Umeliwa hapo. Mjini shule. Jinsi ulivyochagua hiyo siti nambari E2 ni hatari.

mkuu barasu huu utaalamu wa " kumention" sijaujua..hivi unafanyaje tena..ebu nijuze mkuu
 
nani kapiga hizo picha wakati mlikuwa wawili tu na kiukweli nyote mlikuwepo busy?
 
nani kapiga hizo picha wakati mlikuwa wawili tu na kiukweli nyote mlikuwepo busy?

Kama ni dili, watu wa hoteli watakuwa wanahusika. Chumba kinakuwa-wired. Hata ukikohoa "microphones" zina pokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…